Fabolous
JF-Expert Member
- Sep 23, 2010
- 2,993
- 3,747
Jamiiforums ya zamani 2010 kurudi nyuma ilikua ni home of great thinkers.nilijua jf ni ya watu wastaarabu mpaka pale nilipojiunga mambo niliyokutana nayo nikajiona mjinga
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamiiforums ya zamani 2010 kurudi nyuma ilikua ni home of great thinkers.nilijua jf ni ya watu wastaarabu mpaka pale nilipojiunga mambo niliyokutana nayo nikajiona mjinga
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Anatamka akiwa wapiKwanza asante kwa quote The verses from Holly Qur an, Hapa ndio tuta argue Sasa in a good way.
Nianze kwa kujibu 'NDIO' kwa kutumia akili ya kuzaliwa Mungu anaweza tamka hayo maneno.
Imani inaleta contradiction n kubishana kwasababu kila mtu anaamini anachotaka, anachopenda au anachotamani kiwe ukweli, sayansi inatafuta ukweli kwa ku study natural na social environment pia, science itakupa ukweli na ushahidi wa kwamba huu ndo ukweli.Kama science ni elimu sio Imani basi hamna haja ya kuendeleza ubishi hapa. Concept za science ziko proved by experiments halafu laws, facts, principles zimetengenezwa ni elimu yenye ukweli na yenye kukubali ukweli kama tu Kuna ushahidi wenye mantiki na unafanya kazi kisayansi ukipimwa kwenye experiments. Na tukifata scientific way ya kugundua ukweli na uongo, kipi kinafanya kazi na kipi hakifanyi swala la uwepo wa mungu sijui maombi kufanya kazi, safina ya nuhu vyote ni utopolo mtupu.
Na kuchambulia mfano wa safina kisayansi (logical examination)
Vipimo vya Safina ya noah ( biblia imeandikwa Kwa namna hii 300 cubits long, 50 cubits wide, and 30 cubits) ukilinganisha na meli ya Queens Mary
1.Safina ya Noah: 450 feet long, 75 feet wide, and 45 feet high.
Queen Mary: 1,019 feet long, 118 feet wide, and 181 feet high.
Ujazo wa safina ya Noah = Length × Width × Height = 450 ft × 75 ft × 45 ft = 1,518,750 cubic feet.
Ujazo wa Queen Mary = Length × Width × Height = 1,019 ft × 118 ft × 181 ft = 21,334,034 cubic feet.
Queen Mary ilikuwa kubwa mara ngapi kuliko safina ya Noah Ark?
Ujazo wa Queen Mary / Ujazo wa safina ya Noah = 21,334,034 cubic feet / 1,518,750 cubic feet = 14
Kwa hiyo Queen Mary ni karibu mara kumi na nne (14) kubwa kuliko safina ya Nuhu
Species tulizo nazo kulingana na data ni kama 8.7 million Kwa hiyo kama Noah alichukua wawili wa kila specie alibeba viumbe hai 17.4 million (apa nimepotezea lile agizo aliloambiwa kuchukua 7 Kwa wale ambao wanaweza kulika biblia ya kiingereza inawaita clean beasts)
Queens Mary wakati wa vita ya pili ya Dunia ilikuwa inajazwa mpaka uwezo wake mwisho ambao ni watu 16000 (japo ilitengenezwa na uwezo wa watu 2139) na ilikuwa imetengenezwa Kwa chuma tofauti na ya nuhu Kwa mbao
Kwa akili ya kawaida (logically) tu meli ambayo imetengenezwa na mbao inabeba wanyama 17.4 million na chakula chao na watu nane kwa mwaka mzima Kuna tembo huno, twiga, kifaru halafu meli ambayo ni mara 14 kuizidi ina uwezo wa mwisho wa watu 16000 insignia akilini kweli?
Imani unaweza kuchagua tu kuibeba hata ikiwa ya uongo. Ndo maana matatizo kama yanayoonekana kwenye hadithi ya safina ya nuhu mnayabeba tu na kudai ni ukweli huku uongo uko wazi. Science hsiko hivyo. Na ukweli uko kwenye science uongo utagubdulika kupitia utafiti na utarekebishwa ndio science inavyoenda
SOMA KWA UTULIVU HALAFU TAFAKARI UTAONA UTOFAUTI WA FACTS NA IMANI.
Sent from my M10_Max using JamiiForums mobile app
Évolution does not stop and does not reverse. Sisi evolution yetu ipo slow now kwasababu we manage to control the env. So natural selection ipo super slowMkuu hivi nini kilisababisha mpaka evolution ikaanza kutokea? What triggered it? Na kama galaxy yetu na nyengine zilitokea at the same instant baada ya big bang /big bounce (kama umepitia string theory) ni kwanini dunia iwe ndiyo sayari pekee ambayo viumbe hai wana survive lakini si nje ya hapo(on universal scale)?
Why then evolution ime stop baada ya rapidly changes million darwinic years?
Kuna tofauti gani kati ya permenent adaptaption na evolution? Why
Sasa hamna Evolution bila mutation.... We bwana ni mweupe sana tafuta maarifa acha kubishaMutation na evolution ni vitu viwili tofauti mkuu ninachotaka mimi ni evolution ambayo imetokea recent years .
tatizo la watu wanaojifanya hawaamini Mungu hujaribu kuiingiza science ktk imani hizi za dini,mfano ni wewe hapa chini.Kama science ni elimu sio Imani basi hamna haja ya kuendeleza ubishi hapa
si kila concept zimekuwa proved kwa majaribio,nyingine zimebaki katika maelezo peke yake.. Concept za science ziko proved by experiments halafu laws, facts, principles zimetengenezwa ni elimu yenye ukweli na yenye kukubali ukweli kama tu Kuna ushahidi wenye mantiki na unafanya kazi kisayansi ukipimwa kwenye experiments.
hapa kwa sababu bible imetaja hesabu ukaona wacha uchukue calculator,vipi kuhusu Yesu kuelea!!!!Na kuchambulia mfano wa safina kisayansi (logical examination)
Vipimo vya Safina ya noah ( biblia imeandikwa Kwa namna hii 300 cubits long, 50 cubits wide, and 30 cubits) ukilinganisha na meli ya Queens Mary
1.Safina ya Noah: 450 feet long, 75 feet wide, and 45 feet high.
Queen Mary: 1,019 feet long, 118 feet wide, and 181 feet high.
Ujazo wa safina ya Noah = Length × Width × Height = 450 ft × 75 ft × 45 ft = 1,518,750 cubic feet.
Ujazo wa Queen Mary = Length × Width × Height = 1,019 ft × 118 ft × 181 ft = 21,334,034 cubic feet.
Queen Mary ilikuwa kubwa mara ngapi kuliko safina ya Noah Ark?
Ujazo wa Queen Mary / Ujazo wa safina ya Noah = 21,334,034 cubic feet / 1,518,750 cubic feet = 14
haiwezi kuingia akilizi kabisa,ni kama ile ya kuumba dunia kwa siku 6,alitumia excavator ya ukubwa gani kuhamisha milima!!!Kwa hiyo Queen Mary ni karibu mara kumi na nne (14) kubwa kuliko safina ya Nuhu
Species tulizo nazo kulingana na data ni kama 8.7 million Kwa hiyo kama Noah alichukua wawili wa kila specie alibeba viumbe hai 17.4 million (apa nimepotezea lile agizo aliloambiwa kuchukua 7 Kwa wale ambao wanaweza kulika biblia ya kiingereza inawaita clean beasts)
Queens Mary wakati wa vita ya pili ya Dunia ilikuwa inajazwa mpaka uwezo wake mwisho ambao ni watu 16000 (japo ilitengenezwa na uwezo wa watu 2139) na ilikuwa imetengenezwa Kwa chuma tofauti na ya nuhu Kwa mbao
Kwa akili ya kawaida (logically) tu meli ambayo imetengenezwa na mbao inabeba wanyama 17.4 million na chakula chao na watu nane kwa mwaka mzima Kuna tembo huno, twiga, kifaru halafu meli ambayo ni mara 14 kuizidi ina uwezo wa mwisho wa watu 16000 insignia akilini kweli?
swala ambalo wewe huwezi kulichukua akilini haimaanishi ni uongo,vipi mtu amaweza kuelea hewani kwa ungo wa makuti???Imani unaweza kuchagua tu kuibeba hata ikiwa ya uongo. Ndo maana matatizo kama yanayoonekana kwenye hadithi ya safina ya nuhu mnayabeba tu na kudai ni ukweli huku uongo uko wazi.
ndio sababu nakusisitiza usiichanganye na imani.Science hsiko hivyo.
sasa huku kwenye imani umefanya tafiti gani moja tu ukagundua ni uongo!!!Na ukweli uko kwenye science uongo utagubdulika kupitia utafiti na utarekebishwa ndio science inavyoenda
mimi nafahamu ndio maana najua namna ya kutenga hivi vitu,wewe unachanganya ndio sababu unaona mruweruwe.SOMA KWA UTULIVU HALAFU TAFAKARI UTAONA UTOFAUTI WA FACTS NA IMANI.
Sent from my M10_Max using JamiiForums mobile app
Sijajua unachotaka kumaanisha swali langu kwake lilikuwa linahusu prooved evolution phenomenom iliyotokea hivi karibuni na si mutation .Sasa hamna Evolution bila mutation.... We bwana ni mweupe sana tafuta maarifa acha kubisha
Based on which basis? Maana binadamu wa miaka 5000 nyuma ndiyo huyu huyu wa sasa, tuna features zoote walizokuwa nazo wao huko kudogo unapokuongelea wewe ni kupi.Évolution does not stop and does not reverse. Sisi evolution yetu ipo slow now kwasababu we manage to control the env. So natural selection ipo super slow
Strains za parasites kama plasmodium ambazo unakuta sasaivi dawa fulani inaziua baada ya muda hiyo dawa inashindwa. Quinine unaitumia kutibu malaria sasaivi? Parasite anaekuletea ugonjwa amesha evolve features zinazomuwezesha kukwepa quinine. Huu ni mfano wa proved phenomenon.Sijajua unachotaka kumaanisha swali langu kwake lilikuwa linahusu prooved evolution phenomenom iliyotokea hivi karibuni na si mutation .
Japo mutation ni very crutial kwa evolutio lakini hizo terminologiea zinabeba maana tofauti.
😂😂😂😂Kama unaweza kugundua nani muongo niambie bac dini ya ukweli ni ipi na kanisa la ukweli ni lipi na kwa Nini?Yes hata wewe unaweza ukaigiza,uzuri sisi wenyewe tunajua ni kwa namna gani unaweza kugundua uongo.
wewe ni rahisi kukudanganya sababu,kwanza unataka uthibitisho kwa kila kitu.vipi mtu akikwambia Yesu anaponya na bibi yako asiyejiweza akasimama kukimbia???si kesho tutakukuta kanisani kwa huyo nabii unamfulia nguo😂😂😂
I know that...Ila kisa Yesu aliamini mapepo Kama alivyoamini mtu alikaa ndani ya samaki siku tatu..bac inabidi wakristo waamini tu..ndo Mungu waoNa hakuna Mapepo Duniani Chief watu wana ugonjwa wa Afya ya Akili unaitwa Multiple Dissociate Identity Disorder (MDID) wanakuwa wanajiona kama wako Posesed Waje tuwatibu tu Ili wawe poa
We katika maisha yako..Mara ya mwisho kumwona Simba anatembea barabarani ni lini ..unawezaje kusema una mazingira sawa na mtu wa miaka 5000 haupo serious kabisaBased on which basis? Maana binadamu wa miaka 5000 nyuma ndiyo huyu huyu wa sasa, tuna features zoote walizokuwa nazo wao huko kudogo unapokuongelea wewe ni kupi.
Na hiyo enviromental control unayoiongelea ni ipi ambayo 5000 years back hawakuifanya?
😂Staki...utajikosha...soma hivyo hivyo afu uniambie sexual discharge kwa mwanamke ni nini..Umeelewa vizuri?
Au nikuandikie kwa kiswahili?
😂😂Hio sio sexual dischargeMayai ya kike yanakuwa incharged or discharged?
Waislamu mnapenda Sana kujikoshaMayai ya kike yanakuwa incharged or discharged?
Uniambie wapi kwenye hio screenshot wamesema sexual discharge ni mayaiWaislamu mnapenda Sana kujikosha
😂😂😂Yaani me naumwa kisa siamini story za mfufua wafu mtembea majini na multiplier of breads and fish...sawa we una akili Sana mkuuwala sio blindly tunafata tukiwa na uhakika kabisa,wewe ukitaka uthibitisho wa mambo ya kiroho ndipo pale tunahitimisha utakuwa unaumwa.
😂😂😂We ni mkristo Kuna dini 14479 duniani kila moja na adhabu yake ya kutoamini..Tena waislamu wenyewe wanasema specifically kuwa wakristo ndo wa kwanza kwenda motoni kisa kumwamini Yesu na maria ni Mungu...😂😂you have to shut the butt off.
una wasi wasi na maamuzi yako au😝😝😝
We tupe sababu why umechagua bible...sababu isiwe coz umezaliwa ukristoniwewe ndugu unaweza amini vitabu vyote juu ya Mungu!!!
hata kama kila kimoja kina taarufa tofauti???
😂😂😂So hao wafalme, manabii na mitume hawadai kupewa funuo? Afu kwa nini huyu Mungu hawezi kuongea na kila mtu mpaka awhisper kwa mtu mmojabiblia ni mkusanyiko wa vitabu vya historia ya wafalme na manabii na mitume walipata funuo mbalimbali kuhusu Mungu muumba.
Quran ni kitabu kilichoandikwa yote ambayo Muhammad alidai amepewa ufunuo kutoka mbinguni na mungu Aliyemwita Allah.