Je, umewahi kubadili mtazamo juu ya kitu fulani ambapo hapo awali uliuamini sana? Kwanini?

Je, umewahi kubadili mtazamo juu ya kitu fulani ambapo hapo awali uliuamini sana? Kwanini?

😂😂😂Ingia mtandaoni tafuta hio verse ya Hadith urudi..mbona unaogopa...,😂😂😂😂yaani mwaka mzima unabisha..kitendo kwamba hujui inaonyesha hujui dini umefata tu mkumbo kuogopa kuchomwa kitako
sasa hoja ulete wewe alafu uthibitisho nikatafute mimi does it make sense?
weka hiyo aya inayosema jua linaomba ruhusa kwa Allah ili lizame.. don't rotate.
Acha kuzua mambo kama huna hoja tulia acha wenye hoja wajadili.
 
😂😂😂😂Why sio Hinduism.. ushawahi skia Mhindu analipua jengo au Basi...mbona wahindi nao Wana haki na kweli
Kwasababu hinduism sio dini ya haki na kweli.
sijaelewa mhindu kulipua jengo au basi kunahusianaje na hii mada..Check twice your comment before you post, may be ulikuwa una comment kwenye mada nyingine ukachanganya mafaili
 
Mkuu Quran haijasema ulichosema hiyo imeongezwa we soma nilivyoelezea hapo juu
Nimesoma ulivyoeleza vyema hapo juu, nilikuwa najaribu tu kumuonyesha hata ingesema alivyobadili au anavyotaka yeye bado ni makosa. Maana sasaivi kuna tafsir wanazileta nyingi nyingi kufunika uongo wa Muhammad .

Sent from my M10_Max using JamiiForums mobile app
 
😂😂😂😂Sina Mungu wangu mimi. Siwezi kumpa mtu sifa simjui, sijawahi muona, sijawahi ongea nae. we sifa za muarabu mmoja aliyekuwa anaota pangoni ndo unajikuta una Mungu
alikuwa aoti alitokewa na Malaika Jibril kweli.
Alafu kitabu gani hiko kinasema mtume alikuw anaota pangoni? could you share plz. Inaonekana vitabu vyako ni adimu kuvipata.
 
😂😂😂😂Sina Mungu wangu mimi. Siwezi kumpa mtu sifa simjui, sijawahi muona, sijawahi ongea nae .we sifa za muarabu mmoja aliyekuwa anaota pangoni ndo unajikuta una Mungu
ndio mimi najikuta nina mungu vipi wewe sifa za wanasayansi waliokosa majibu juu asili ya ulimwengu na binadamu ndio unajikuuuuuuuta hauna mungu.....🚮
 
😂😂😂Kwa Nini lisimhusu.. umetaja dini tatu ..hizo sio za kwanza Wala za mwisho .na humo zimekopiana vya kutosha ..huyo Mungu wa ukweli Yuko wapi mbona kila jamii Ina Mungu wake...😂tofauti ni kwamba jamii moja ilipenda vita na kutaka kumsambaza Mungu wao .
halikuhusu kwasababu hizo dini nilizotaja hazikatai uwepo wa mungu .
Nimetaja hizo dini tatu kwasababu ndio Abrahamic religion na uislamu ambao mimi nauamini kuwa ndio dini ya kweli nao ni miongoni mwa abrahamic religion.
Kuhusu suala la dini kupingana ni kweli zinapingana ila hazipingi uwepo wa mungu sasa wewe hoja yako ni nini? ni dini kupingana au ni juu ya uwepo wa mungu???.
NOTE: Kupingana kwa dini sio hoja kuwa mungu hayupo nishaliongelea hili sana tu.
 
Zamani nlikuwa na amini dini ni njia ya haki na kwli ili mtu amjue MUNGU kumbe ni kichaka cha matapeli na wezi wenye tamaa za fedha na mali ........ inshort nimewachukia
 
Nipe mfano wa concept ya science ambayo hsiko proved experimentally ni maelezo tu ?
unaifahamu darwinism theory of evolution!!!!
Yuko wapi huyo anaepaa na ungo nimuone? Mbona mi najua watu husafiri Kwa ndege, mabasi, train, cable cars
hujui ila umekariri hivyo.
Kutembea juu ya majibu na alikuwa na mwili kama binadamu [emoji23][emoji23] ni wadudu tu kama water striders ndo surface tension inawaruhusu kusimama juu ya maji
ok sawa.
Najua aliumba bila vifaa alitamka tu vikaja, wanadamu walibumbwa kwa udongo [emoji23][emoji23]
na sababu mbona imendikwa kwanini kwa sura ya mtu ilibidi ashike udongo!!!!
Utafiti wa science unaonyesha dunia Ina umri wa zaidi ya hiyo miaka 6000 ambayo biblia inaonyesha
ndio, kwamba kabla binaadam hajawa alivyo leo alikuwa nyano flani hivi 😅
Utafiti wa archeologist haujawahi kupata ushahidi wa Wana wa Israeli kutumikishwa misri
tutajuaje labda walikuwa wanatafuta fimbo ya musa.
Unataka tafiti gani za zaidi hizi hazitoshi?

Mbona sasa mnasemaga kwamba kuna mambo ya kisayansi kwenye biblia [emoji23][emoji23] na Quran (hasa waislamu eti kuna vitu uislamu ulijua kabla ya tafiti za science kugundua[emoji23][emoji23][emoji23]
mimi ulishawahi kunisoma wapi nikidai kuna science kwenye biblia ama Quran!!!

infact elimu ya science imeikuta imani na miaka mingi tu.

Sent from my M10_Max using JamiiForums mobile app
 
Asa we ni muislam ndo maana unasema hivyo . Na kila dini ndo inasema Ina maandiko ya Mungu mwenyewe na wengine wote ni waongo...ni sawa ninunue dawa afu nakuta karatasi elfu moja kila moja Ina maelezo yake...ehe unafanyaje apo..😂au unachukua yenye maandishi ya kiarabu
dawa kuwa na makaratasi elfu moja kila moja na maelezo yake huo ni mfano wa dini nyingi zenye maelezo tofauti juu ya mungu, Hapo kuna karatasi moja ina maelezo ya kweli ambayo ni hiyo yenye maelezo ya kiarabu.

Wewe kwa upande wako hata iyo dawa hauitaki iweje utake kunywa ?.
 
😂Sio kazi yangu mi kujua mti umetoka wapi unanisaidia Nini kwa mfano..nitakufa nisipojua au, nitaumwa?
usipo jua jibu la hilo swali hautamjua mungu na ukilijua utamjua.
 
Mjinga wewe! Bado upo ktk Karne ya giza. Mpaka Leo unaongea upuuzi huo eti hakuna mungu?? Hujiulizi ukiwa UMELALA!! Viungo vyote havifanyi kazi ispokua moyo! Je unajua SIRI YA TUKIO HILO?

Lofaa sana
Sasa hapo ndio umeongea nini kwamba ulitaka ukilala na moyo ufanyaje
 
Nawewe solution yako ni kukataa kuwa watu wawili hawawezi kuwa uchi kwenye bustani au?
Anyway..Embu nisaidie na hili swali pia kwa mujibu wa sayansi iliyowatoa ujinga.
Ni ipi asili ya dunia?
Mimo naomba nijibu ni ipi asili ya Mungu
 
😂Fyn tufanye tumeumbwa...hizo sheria za huyo mwarabu mjinga tunajuaje ni za Mungu
sasa Muhammad ndio kasema tumeumbwa na Mungu na kaja na sheria za mungu.
kivipi utakubali umeumbwa na mungu alafu ukatae sheria zake?

Kuhusu kujua sheria za muhammad kuwa zimetoka kwa mungu tumia njia hiyo iliyokufanya ujue kuwa sisi tumeumbwa na mungu. Kama njia yako ni hii ya " Fyn tufanye tumeumbwa..." basi pia fyn tufanye sheria za muhammmad ni za mungu.
hope unaanza kuelewa uwepo wa mungu sasa.
 
unaifahamu darwinism theory of evolution!!!!

hujui ila umekariri hivyo.

ok sawa.

na sababu mbona imendikwa kwanini kwa sura ya mtu ilibidi ashike udongo!!!!

ndio, kwamba kabla binaadam hajawa alivyo leo alikuwa nyano flani hivi [emoji28]

tutajuaje labda walikuwa wanatafuta fimbo ya musa.

mimi ulishawahi kunisoma wapi nikidai kuna science kwenye biblia ama Quran!!!

infact elimu ya science imeikuta imani na miaka mingi tu.
Darwinism sio kwamba haiko proved Ina weaknesses sikatai ambazo hata yeye alikosea especially kuhusu principles fulani za genetics. Lakini Darwinism ndio base/msingi wa maendeleo ya evolutionary biology imeendelea tu kirekebishwa na idea kutoka field zingine kama population genetics, biogeography, palaeontology zimeongezewa Ili kuweza kuleta maana vitu ambavyo vingine Darwin hakuweza kuvipata. Ila pamoja na yote Darwin was a GENIUS ukielewa evolution utaliona hili.

Nadhani unafahamu kitu kuitwa theory maana ake nini? Au ni wapi na kwenye nini tunatakiwa kutumia neno theory

Fimbo ya Musa ya nini. Wakati kila mzaliwa wa kwanza wa misri anakufa waisraeli waliambiwa nyumba zao waziwekee alama. Kwa hiyo walijenga nyumba misri. Vipi ziliyeyuka zote? Hata moja haikubaki?

Na darwinism haisemi binadamu alikuwa nyani, nyani ni nyani na binadamu ni binadamu tuko tu kwenye phylogenetic tree moja.

Sent from my M10_Max using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom