Lidafo
JF-Expert Member
- Sep 26, 2019
- 889
- 1,789
- Thread starter
- #581
sasa hoja ulete wewe alafu uthibitisho nikatafute mimi does it make sense?😂😂😂Ingia mtandaoni tafuta hio verse ya Hadith urudi..mbona unaogopa...,😂😂😂😂yaani mwaka mzima unabisha..kitendo kwamba hujui inaonyesha hujui dini umefata tu mkumbo kuogopa kuchomwa kitako
weka hiyo aya inayosema jua linaomba ruhusa kwa Allah ili lizame.. don't rotate.
Acha kuzua mambo kama huna hoja tulia acha wenye hoja wajadili.