Je, umewahi kubadili mtazamo juu ya kitu fulani ambapo hapo awali uliuamini sana? Kwanini?

Je, umewahi kubadili mtazamo juu ya kitu fulani ambapo hapo awali uliuamini sana? Kwanini?

Mimo naomba nijibu ni ipi asili ya Mungu
Mbona wewe haujajibu swali unarukia kuuliza swali ?
anyway, ndio kawaida yenu wapinga mungu hamjui kujibu maswali nyie mnajua kuuliza tu.
Mungu ninae mzungumzia mimi ni Allah ambaye hana asili kwa ufupi hajaumbwa wala hajaza wala hajazaliwa .
Yani mbaguzi hana tofauti na shetani
Unaweza kuthibitisha shetani yupo na ni mbaguzi??
 
Darwinism sio kwamba haiko proved
proved wapi!!!
Ina weaknesses sikatai ambazo hata yeye alikosea especially kuhusu principles fulani za genetics. Lakini Darwinism ndio base/msingi wa maendeleo ya evolutionary biology imeendelea tu kirekebishwa na idea kutoka field zingine kama population genetics, biogeography, palaeontology zimeongezewa Ili kuweza kuleta maana vitu ambavyo vingine Darwin hakuweza kuvipata. Ila pamoja na yote Darwin was a GENIUS ukielewa evolution utaliona hili.
mimi sijakataa,nachofahamu huwezi kuwa mzuri kila sehemu.
Nadhani unafahamu kitu kuitwa theory maana ake nini? Au ni wapi na kwenye nini tunatakiwa kutumia neno theory
ni wapi??nilitegemea tutaizingatia kwenye science yote kwa ujumla wake,au ulikusudia kwenye hesabu peke yake!!!
Fimbo ya Musa ya nini. Wakati kila mzaliwa wa kwanza wa misri anakufa waisraeli waliambiwa nyumba zao waziwekee alama. Kwa hiyo walijenga nyumba misri. Vipi ziliyeyuka zote? Hata moja haikubaki?
inawezekana kabisa kwani nyumba kubaki si inategemea iwe imejengwa kwa material imara kiasi gani!!!unategemea nyumba ya utumwani iwe imara kiasi hicho!!

Sent from my M10_Max using JamiiForums mobile app
 
proved wapi!!!

mimi sijakataa,nachofahamu huwezi kuwa mzuri kila sehemu.

ni wapi??nilitegemea tutaizingatia kwenye science yote kwa ujumla wake,au ulikusudia kwenye hesabu peke yake!!!

inawezekana kabisa kwani nyumba kubaki si inategemea iwe imejengwa kwa material imara kiasi gani!!!unategemea nyumba ya utumwani iwe imara kiasi hicho!!
Proved wapi!!! (Kweli hii ndo hoja yako) evidence from selective breeding, evidence from comparative anatomy and embryology, evidence from biogeography, fossil evidence zilozotolewa hamzifahamu au mmeamua kuzipotezea tu?

Sent from my M10_Max using JamiiForums mobile app
 
namimi nakushauri kitu kama hujui usiseme hakuna kwenye debate yoyote utaharibu kinoma ,NAKUSHAHURI
Mi tokea tuanze Kuna sehemu nimesema hakuna Mungu...😂😂😂mi nakuambia hio god of the gaps argument ni mbaya coz kwanza
1. Zamani vitu kama mvua, radi, volcano, walisema ni Mungu anafanya wakatunga na story kwamba sijui anafungua madirisha ya mbinguni, radi wakatungiwa kina thor na Zeus ..magonjwa walisema ni mapepo mpaka baadae vijidudu vikajulikana...😂so kadri siku zinavyoenda it's easy to see huyo Mungu Hilo gap la kujifichia linakua dogo ..
2. It's so easy kwa dini yoyote Ile kusema look at the sun, science can't explain it so our god did it...😂😂hii ni false dichotomy cause just coz science can't explain it doesn't mean Allah or brahma or Yahweh did it
 
No offense broh, ila uliyemquote yeye anaongelea Imani na mtazamo wake. Kamwe watu wote hatuwezi kufanana kwenye kila kitu.

Nadhani badala ya kumuattack, ilifaa umuulize kwanini ameacha kuamini uwepo wa Mungu.
Afu mi sijasema siamini uwepo wa Mungu...anaweza kuwepo asiwepo I don't care, coz he/she/it didn't make me care, Ila kuhusu vitabu vya dini 100% sure hamna kazi pale
 
Mkuu muda wote ulikuwa unabishana Mungu hayupo alafu hata hujui maana ya Mungu..Then how you criticize the existance of something you don't know even its defination ??

Anyway, Mimi ni muislamu kwahiyo ninamini katika ALLAH kwahiyo ninaposema Mungu namaanisha Allah.

Mungu ni mmoja, ambaye ndie muweza wa mambo yote muumba wa mbingu na ardhi aliyeumba ulimwengu mzima na vilimwengu vyote, hajazaa wala hajazaliwa hakuna cha kufananishwa nae,
huyu ndie mungu ninae mkusudia ana sifa nyingi sana ila sifa kuu za kumuelezea zimetajwa katika qur an 👇👇

"Say: He is Allah, the one and only God the Eternal, the Absolute He begot none,no was he beggotten and there is none comperable to him" (qur an: 112 surat ikhlasw)
Na brahma si wanasemaga hivi hivi wahindi...na Yahweh hivi hivi...Sasa mbona unatuchanganya
 
sio kweli hawana sifa zote za Allah rudia kusoma maelezo ya surat ikhlasw yanasema Allah hafanani wala hafananizwi na chochote sasa hao kina latah na uzza siwalichongwa masanamu yao kitendo cha kuabudu masanamu ya lata na uzza tayari hao sio alllah na hawana sifa kama za allah kwasababu allah hafanani na chochote... hope you get the point.

NOTE; Hakuna mungu yoyote tofauti na ALLAH utamuweka katika sifa za kwenye surat ikhilasw aka- meet the criteria narudia hakuna nanakupa challenge leta mungu yoyote muweke kwenye mizani ya surat ikhlasw uone atakavyopwaya natoa challenge kwa yoyote yule, sio wewe tu itaneni woooote wapinga mungu hii ni challenge nimetoa.
Bac Mungu wangu anaitwa Lesturat anasifa hizo...😂😂ehe bisha na uthibitisho
 
mimi siajsema ametuumba vibaya nimesema hajatuumba na ukamilifu kama wake.
unaweza kuthibitisha kuwa kuumbwa kwetu bila ukamilifu kama wa mungu ni jambo baya????
😂😂😂Bac asilalamike asa mbona tunaishi fresh bila yeye... Kipindi ambacho mnasema kulikuwa na manabii sijui mitume maisha yalikuwa jau jau ila now tumeendelea bila ujinga...that's science. Nitajie mchungaji yoyote aliegundua chanjo...aliyevumbua technology ya kuleta maendeleo..kazi kuiba tu hela za wajinga na maskini
 
sasa hoja ulete wewe alafu uthibitisho nikatafute mimi does it make sense?
weka hiyo aya inayosema jua linaomba ruhusa kwa Allah ili lizame.. don't rotate.
Acha kuzua mambo kama huna hoja tulia acha wenye hoja wajadili.
Nilituma screenshot ukaipotezea, akaja mwenzako wa sexual discharge nae kapotea...😂mnanipotezea mda kuattach files hii sio what's app chap tu unatuma...we Kama hujui hio Hadith acha
 
sasa hoja ulete wewe alafu uthibitisho nikatafute mimi does it make sense?
weka hiyo aya inayosema jua linaomba ruhusa kwa Allah ili lizame.. don't rotate.
Acha kuzua mambo kama huna hoja tulia acha wenye hoja wajadili.
 

Attachments

  • images (73).jpeg
    images (73).jpeg
    39.3 KB · Views: 2
Kwasababu hinduism sio dini ya haki na kweli.
sijaelewa mhindu kulipua jengo au basi kunahusianaje na hii mada..Check twice your comment before you post, may be ulikuwa una comment kwenye mada nyingine ukachanganya mafaili
Unajisahaulisha the 19 men involved with 911 walikuwa waislamu waliodanganywa watapata papa 72 mbinguni
 
proved wapi!!!

mimi sijakataa,nachofahamu huwezi kuwa mzuri kila sehemu.

ni wapi??nilitegemea tutaizingatia kwenye science yote kwa ujumla wake,au ulikusudia kwenye hesabu peke yake!!!

inawezekana kabisa kwani nyumba kubaki si inategemea iwe imejengwa kwa material imara kiasi gani!!!unategemea nyumba ya utumwani iwe imara kiasi hicho!!
Nilichojaribu kumaanisha kwenye swali langu la theory ni kwanini tuseme hichi kitu ni theory ni sifa zipi kwenye scientific concept yoyote inayofanya Sasa tuseme hii imekuwa theory?

Kwenye swala la utumwani

[emoji23][emoji23][emoji23] Kwa hiyo nyumba zote zilifutika Kwa kujengwa na material mabovu? hata mabaki ya misingi ya nyumba yalifutika yakaisha yote

Nyingine hii hapa nakuuliza kuhusu utumwa

Neno pharaoh ni title tu yenye maana mfalme au mtawala ila lazima walikuwa na majina yao hawa wote apa chini walikuwa wafalme (Pharaoh) biblia haituambii ma pharaoh waliokuwa madarakani wakati wa utumikishwaji wa wana wa Israeli ili tuweze kufatilia historia vizuri maana za hawa ma pharaoh zinapatikana tu. mtu/watu muhimu hivyo kwenye historia ya wana wa Israeli hawamjui jina? Kuna dalili ya mwandishi apa ambae alihisi pharaoh ni jina la mtu au mtu mmoja.

Narmer (Menes)
Djoser
Khufu
Hatshepsut
Thutmose III
Akhenaten
Tutankhamun
Ramses II (Ramses the Great)
Cleopatra VII

Sent from my M10_Max using JamiiForums mobile app
 
alikuwa aoti alitokewa na Malaika Jibril kweli.
Alafu kitabu gani hiko kinasema mtume alikuw anaota pangoni? could you share plz. Inaonekana vitabu vyako ni adimu kuvipata.
😂😂😂Bac nimetokewa na Michael the angel .. njooni msikilize sheria zake mkigoma wote motoni...
 
ndio mimi najikuta nina mungu vipi wewe sifa za wanasayansi waliokosa majibu juu asili ya ulimwengu na binadamu ndio unajikuuuuuuuta hauna mungu.....🚮
Mungu angekuwa real Kama huyo Allah unayemsemea 😂angekutokea wewe na Mimi...why mtu mmoja aamke usingizini atupe sheria za kuoa watoto na bikra za mbinguni afu tumwamini
 
halikuhusu kwasababu hizo dini nilizotaja hazikatai uwepo wa mungu .
Nimetaja hizo dini tatu kwasababu ndio Abrahamic religion na uislamu ambao mimi nauamini kuwa ndio dini ya kweli nao ni miongoni mwa abrahamic religion.
Kuhusu suala la dini kupingana ni kweli zinapingana ila hazipingi uwepo wa mungu sasa wewe hoja yako ni nini? ni dini kupingana au ni juu ya uwepo wa mungu???.
NOTE: Kupingana kwa dini sio hoja kuwa mungu hayupo nishaliongelea hili sana tu.
Sijasema Mungu hayupo..lakini huyo Mungu hajawahi kumtokea mtu yoyote kila mtu anabwabwaja za kichwani kwake ndo maana kila siku dini mpya zinaundwa
 
Back
Top Bottom