Je, umewahi kukutana na mtumiaji wa JF katika maisha ya uhalisia (Jamii)?

Je, umewahi kukutana na mtumiaji wa JF katika maisha ya uhalisia (Jamii)?

Nilikutana naye huko Namnyere kijijini kabisa.
Kile Kijiji wenye smartphone tulikuwa watatu tu.
Mwingine zamani kama 2010 hivi nilikutana nae akanambia nimtajie jina langu la huku kwani yeye ni Mods ili asinipige ban
 
Huu umbea ni wa mwaka gani? Siamini kama ulinipita.

And kwanini walimfanyia hivyo? Yarabi !
Khaaa!! binti kiziwi hukuwepo kweli kipindi kile?
Ni almost miaka kama 4 au 5.
Hizi mada ukizifukunyua unaweza kukutana nazo.
Zipo humu ila ndo vichwa vya habari nimevisahau.
Si unajua wanaume wa humu, ukijifanya muck-know wanakuja kukinukisha.
Acha tu
 
Kuna kiazi mmoja anajiita Lucas Mwashambwa ,yule fala niliwahi chungulia kwenye simu yake wakati akiandika mada zake za kipuuzi humu jamii forum akiwa kwenye bus / daladala
Yule lofa ni kapuku mmoja na sura mbaya imepauka kama misukule ya Lumumba street
 
Back
Top Bottom