Je, umewahi kukutana na mtumiaji wa JF katika maisha ya uhalisia (Jamii)?

Je, umewahi kukutana na mtumiaji wa JF katika maisha ya uhalisia (Jamii)?

Mimi nina jamaa ofisini wote tunajuana ni wana wa JF ila sijui id yake na nauuhakika hata yeye hafahamu ya kwangu huwa tunashare tu mambo yanavooenda na tunachukizwa na wingi wa chawa na watoto wa Facebook waliojaa JF siku hizi
 
Mtu kuijua ID yako wakati unaperuzi siyo rahisi kwa sababu unakuwa una-scroll randomly ataijua pale ume-reply au ume-post kwenye uzi au jukwaa husika na awe makini kweli kweli kukufuatilia.

Mimi simu yangu hashiki mtu zaidi ya wife maana najijua mzito ku-log out kwenye mitandao Jamiiforums ikiwemo.
Ni kweli ila nadhan yule dada kanifatilia muda mrefu kuna muda nilikuwa na reply mana nilikaa kwa muda nadhan mpaka amekuja atakuwa amepata uhakika nakunifaham by the way sikujali sanaaa and now nataman nimuone humu na uwenda ikawa kasoma nilichoandika.
 
Niliwahi kuwa sehemu nikamuona mkaka akafungua kwa siri sana JF nikawa makini kama sungura asielewe ninamchunguza,lahaula yule kaka kufungua I'd anacomment naona I'd mzabzab jamani siku ile ndio niliamini usiamini maneno ya watu wa JF......
Narudia tena wewe inaonekana unanifahamu...na hivyo basi tushagegedana maama mie urafiki na mwanamke sinaga lazima nikukule tuu.
E u waambie uma wa jf jinsi kibamia kilivyokitamu 🤣🤣🤣🤣🤣
Alafu mshangazi mwenye hela nikopesha basi laki moja nikale pale water front huku namcheki yule dada pale mwenye matiti mazuri
 
Panaitwaje?
FaizaFoxy huwa anapenda rosti, ila kama ni kitimoto ya ulimi huwa anapenda ulimi ule ukaushwe uwe kavu.
Sema huwa hapendi kula hadharani, mara nyingi wanakuwaga na Malaria 2 pale mwananyamala kuna kapub fulani hivi kapo mafichoni wanasifika kwa kutengeneza kitimoto safi na tamu sana.
Kinywaji hawa watu hupendelea sana K vant
 
Yaani nilivyoshtuka hapa, nikajua ulinichungulia kwenye coaster afu hukunishtua daah🤣🤣🤣
I'm humbled Maki🙏🙏

Btw ulikuwa uzi gani huo kama unaweza kuumbuka?

Naamini husiano lako linaendelea vizuri kabisa; mimi nalifurahia tu bila sababu
Husiano Mungu anaendelea kulilinda HS....Tunasonga🤣( japo nimecheka sana)

Huo Uzi nitajaribu kuukumbuka..But ujue tu Comment zako nilizi'screen shot..Maana kilichoombewa Ushauri kwenye Ile mada hakikupishana sana na nilichokuwa napitia kipindi hicho..Na ushauri uliokuwa unatoa ilikuwa ni top notch ...Mungu amekubariki sana kwenye hilo HS..

Siku moja nitapita google photos huko nikuoneshe Reference za comments zako...unaweza usiamini...

Ubarikiwe tu...
 
Habari za muda huu wanajamvi!

Je, umewahi kukutana na mtumiaji wa Jamii Forums katika maisha ya uhalisia (Jamii)?
🔹 Ulijisikiaje?
🔹 Ulijitambulisha kuwa na wewe ni mwanachama, au ulifanya kama hauijui kabisa?
🔹Baada ya kujitambulisha mlikuwa na mazungumzo ya aina gani?

Nimeuliza hivi kwa maana watumiaji wengi wa JF hutumia huu mtandao kwa Siri sana

Share nasi uzoefu wako! 📢👇
Naamini kila mtu ana hadithi ya kipekee ya kusimulia.

#JamiiForums #Jamii #Uhalisia #UzoefuWako
Nilikutana na jamaa, afu tunakaa mtaa mmoja kumbe. Wenselaaus mlinda na mwingine ni jmaa angu sana anaitwa charles nyanzari. Ila aka zao nimezifich
 
Back
Top Bottom