Je, umewahi kukutana na mtumiaji wa JF katika maisha ya uhalisia (Jamii)?

Je, umewahi kukutana na mtumiaji wa JF katika maisha ya uhalisia (Jamii)?

Narudia tena wewe inaonekana unanifahamu...na hivyo basi tushagegedana maama mie urafiki na mwanamke sinaga lazima nikukule tuu.
E u waambie uma wa jf jinsi kibamia kilivyokitamu 🤣🤣🤣🤣🤣
Alafu mshangazi mwenye hela nikopesha basi laki moja nikale pale water front huku namcheki yule dada pale mwenye matiti mazuri
Huna umalaya huo bwana weweee usidanganye watu.....siku ile nusu nikusanue🤣🤣🤣🤣ila wewe ni kaka mstaarabu tofauti na huku kabisa
 
Vizuri.
Ila nadhani hukuwepo tangu zamani humu ndio maana tunaongea lugha mbili tofauti.
But, ni vema kuishi vile tunavyotaka
Yep nimejiunga rasmi 2022...... Before nilikuwa nasoma tuu kupitia google since 2014-15 hapo, nilipogundua Kuna hii jamii forum...... ko sikuwa naifatilia kihivyo kama sasa hivi madam
 
Back
Top Bottom