Je, umewahi kukutana na mtumiaji wa JF katika maisha ya uhalisia (Jamii)?

Je, umewahi kukutana na mtumiaji wa JF katika maisha ya uhalisia (Jamii)?

mkwepu jr Jr mzee wa kulike, jamaa yupo peace sana yani sana. Hakujitambulisha kwangu ila nilimgundua kupitia baadhi ya vitu vyake vina hilo Jina na hapo nilikuwa nipo nae eneo Moja la kazi Kwa karibia miez kadhaa akiwa ndio mwanangu wa karibu sana.
Nilijikuta tu namwambia kumbe ndio wewe fala, tukacheka sana.
 
Na Kuna yule alikuwa anajifanya ana migodi ya madini kumbe ni ni mdangaji aliumbuka vibaya 🤣 💔
Halafu sahv simuoni kabisa au kabadili user name?
Ila wanawake walibanduliwa sana kipindi hiko, japo wapo wanaume waliokuwa wanatoa kweli mpunga mrefu ili kupata mademu.
Nakumbuka kuna demu mmoja alishindaga miss chitcht sikumbuki mwaka kama sio 2012 basi 2013 alibanduliwa sana na wanaume wa humu japo nae alikuwa mtoto wa mjini alikula sana pesa za wanaume humu.
Kuna yule kaka wa Arusha aliyekuwa anagawa dola kwa demu alimpenda nasikia kachapa sana mademu wa Arusha mpaka akawaambukiza gono halafu mada ikaja jukwaani, weeeeeee!!!!
Acha kabisa
 
Katika mtandao unaowaumiza vichwa TISS ni huu wa JamiiForums
Na siku hizi wakigundua wewe ni wa kiume wanakutumia madem inbox unase wamalizane nawe. Wakigundua ni dem wanakutumia nauli na ya kutolea ndo mwisho wako.

JF tupo wengi sana lakini uangalifu wetu umeyusaidia kudumu hadi sasa.

Kongole kwa team nzima ya JF chini ya slim Maxence Melo
Sahv kanenepa nenepa boss wetu🤓
 
Halafu sahv simuoni kabisa au kabadili user name?
Ila wanawake walibanduliwa sana kipindi hiko, japo wapo wanaume waliokuwa wanatoa kweli mpunga mrefu ili kupata mademu.
Nakumbuka kuna demu mmoja alishindaga miss chitcht sikumbuki mwaka kama sio 2012 basi 2013 alibanduliwa sana na wanaume wa humu japo nae alikuwa mtoto wa mjini alikula sana pesa za wanaume humu.
Kuna yule kaka wa Arusha aliyekuwa anagawa dola kwa demu alimpenda nasikia kachapa sana mademu wa Arusha mpaka akawaambukiza gono halafu mada ikaja jukwaani, weeeeeee!!!!
Acha kabisa
Wengi walibadili ID na kuja kivingine , wengine wanapita kimya kimya kama huyo miss chitchat chaming L last see inasoma jumanne🤣
 
Back
Top Bottom