mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 20,704
- 66,337
financial wewe nahisi nakufahamuInshallah Mungu atatujaalia mkuu🙏
kuna posts nilisoma
uhakika ni 60%
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
financial wewe nahisi nakufahamuInshallah Mungu atatujaalia mkuu🙏
Jukwaa maalum kwa ajili ya watu wazima.Hapana boss..... Nidokeze kunani humo ?
Max wa sasa sio yule wa 2010 wakati namfahamu.Mtu anashindia salads za kukaanga na tobo paja la kuku, unene autoe wapi bana😂😂😂😂
Kumbe wako live😂😂😂Wengi walibadili ID na kuja kivingine , wengine wanapita kimya kimya kama huyo miss chitchat chaming L last see inasoma jumanne🤣
Mkewe kapata mume mwema na mpole sana
Sio hawa akina Juma wa huku majumbani mwetu, gubu tu.
Sasa umemnunia nani hapo kwenye kochi?
Inawezekana mkuu, dunia ndogo hiifinancial wewe nahisi nakufahamu
kuna posts nilisoma
uhakika ni 60%
Ni mambo mengi tu sema hamuwezi kuelewa 😏Sasa umemnunia nani hapo kwenye kochi?
Sasa si useme ili tusaidiane kuyatatua mume wangu?Ni mambo mengi tu sema hamuwezi kuelewa 😏
Tunakupenda pia kwa niaba ya hao madogo uliowataja hapo...thanx mkuu
Wako live wanatuchora tu,, huyu menengero alibadilishaga iD akajiita wangari Masai huyu mwingine alijiita muzineKumbe wako live😂😂😂
ID kibao zimebadilishwa baada ya watu kupata maskendo mbalimbali.
Unakumbuka yule mdada wa ArushaWing aliyefumaniwa na mume wa mwanajf wakiwa Arusha Marathon?
Jamaniiii.....acha tu
We acha tu, walikuja kupoa kama moto wa kifuu.Wako live wanatuchora tu,, huyu menengero alibadilishaga iD akajiita wangari Masai huyu mwingine alijiita muzine
Jf ya kipindi kile ilikuwa moto sana 😂
Happy New Year, Miss Kiziwi. Tuombe tu uzima tutaonanaML, good to see you here. Happy new year in advance maana kwa kupotea wewe naweza kukuona tena 2025.
Ohoo nipe mambo madam boss,,Jukwaa maalum kwa ajili ya watu wazima.
Acha kabisa, achaaaa!!!!
Yaani kule watu walikuwa wako active kuliko wanavyofuatilia mechi za mpira.
Lilikuja kufutwa ilipokuja sera za mitandao.
Dah!! Mpaka mkuu Maxence Melo japo ndio waliloliondoa, ila mpaka wao walisikitika.
Spelling error.😂😂😂 Ya kweli hayo au unataka mods wakulishe ban
Asante mkuu
Kamuulize maxence merloHabari za muda huu wanajamvi!
Je, umewahi kukutana na mtumiaji wa Jamii Forums katika maisha ya uhalisia (Jamii)?
🔹 Ulijisikiaje?
🔹 Ulijitambulisha kuwa na wewe ni mwanachama, au ulifanya kama hauijui kabisa?
🔹Baada ya kujitambulisha mlikuwa na mazungumzo ya aina gani?
Nimeuliza hivi kwa maana watumiaji wengi wa JF hutumia huu mtandao kwa Siri sana
Share nasi uzoefu wako! 📢👇
Naamini kila mtu ana hadithi ya kipekee ya kusimulia.
#JamiiForums #Jamii #Uhalisia #UzoefuWako
Huyo jamaa alikua mshambaKuna mada moja ililetwaga humu miaka kama 4 au 5 iliyopita
Kipindi hiko humu Jf kila mwanamke anajiita pisi
Jamaa akaomba mchezo na pisi moja pm, akakubaliwa, kumbe bwana ulikuwa mchongo.
Yule dada kafika lodge kumbe jamaa kategesha camera chumbani.
Yule dada hatakuja kusahau ile aibu halafu wote tulikuwa tunamuona bonge la demu na mkali balaa hapa jukwaani, kumbe hakuna kitu na ni aibu sana.
Pia kosa kubwa alilofanya yule dada ni kuchati kupitia Pm mpaka sura yake.
Jamaa aliscreenshot kisha akaja na uzi wenye naked video ya yule dada pamoja na picha zake.
Jamaa alikula life ban na ile Id ya yule dada last seen yake imesimama July 2019 mpaka leo.
Kwahiyo hizi ndizo sababu za wengi kukataa kufahamika
Asante mkuu
[/QUOTE