Je, umewahi kukutana na mtumiaji wa JF katika maisha ya uhalisia (Jamii)?

Je, umewahi kukutana na mtumiaji wa JF katika maisha ya uhalisia (Jamii)?

Hapana boss..... Nidokeze kunani humo ?
Jukwaa maalum kwa ajili ya watu wazima.
Acha kabisa, achaaaa!!!!
Yaani kule watu walikuwa wako active kuliko wanavyofuatilia mechi za mpira.
Lilikuja kufutwa ilipokuja sera za mitandao.
Dah!! Mpaka mkuu Maxence Melo japo ndio waliloliondoa, ila mpaka wao walisikitika.
 
Mtu anashindia salads za kukaanga na tobo paja la kuku, unene autoe wapi bana😂😂😂😂
Max wa sasa sio yule wa 2010 wakati namfahamu.
Sahv kaota ota nyama na amenawiri mpaka nimefurahi.
Sema ana kitu kimoja tu ambacho hakijabadilika....tabasamu lake.
Ana tabasamu fulani la kuvutia na halichoshi kumuangalia.
Hata akinuna huwa anatabasamu.
Mkewe kapata mume mwema na mpole sana
Sio hawa akina Juma wa huku majumbani mwetu, gubu tu.
 
Wengi walibadili ID na kuja kivingine , wengine wanapita kimya kimya kama huyo miss chitchat chaming L last see inasoma jumanne🤣
Kumbe wako live😂😂😂
ID kibao zimebadilishwa baada ya watu kupata maskendo mbalimbali.

Unakumbuka yule mdada wa ArushaWing aliyefumaniwa na mume wa mwanajf wakiwa Arusha Marathon?
Jamaniiii.....acha tu
 
Mkewe kapata mume mwema na mpole sana
Sio hawa akina Juma wa huku majumbani mwetu, gubu tu.
1000012661.jpg
 
Kumbe wako live😂😂😂
ID kibao zimebadilishwa baada ya watu kupata maskendo mbalimbali.

Unakumbuka yule mdada wa ArushaWing aliyefumaniwa na mume wa mwanajf wakiwa Arusha Marathon?
Jamaniiii.....acha tu
Wako live wanatuchora tu,, huyu menengero alibadilishaga iD akajiita wangari Masai huyu mwingine alijiita muzine
Jf ya kipindi kile ilikuwa moto sana 😂
 
Wako live wanatuchora tu,, huyu menengero alibadilishaga iD akajiita wangari Masai huyu mwingine alijiita muzine
Jf ya kipindi kile ilikuwa moto sana 😂
We acha tu, walikuja kupoa kama moto wa kifuu.
Shobo zote kwisha😂😂😂
Wanaume wa humu baada ya kuona live picha zao, zikaanza kuja screenshot kwa ajili ya ushahidi kamili 🙌🙌🙌
 
Jukwaa maalum kwa ajili ya watu wazima.
Acha kabisa, achaaaa!!!!
Yaani kule watu walikuwa wako active kuliko wanavyofuatilia mechi za mpira.
Lilikuja kufutwa ilipokuja sera za mitandao.
Dah!! Mpaka mkuu Maxence Melo japo ndio waliloliondoa, ila mpaka wao walisikitika.
Ohoo nipe mambo madam boss,,

Vipi jukwaa gani humu liko vizuri zaidi..
 
K
Habari za muda huu wanajamvi!

Je, umewahi kukutana na mtumiaji wa Jamii Forums katika maisha ya uhalisia (Jamii)?
🔹 Ulijisikiaje?
🔹 Ulijitambulisha kuwa na wewe ni mwanachama, au ulifanya kama hauijui kabisa?
🔹Baada ya kujitambulisha mlikuwa na mazungumzo ya aina gani?

Nimeuliza hivi kwa maana watumiaji wengi wa JF hutumia huu mtandao kwa Siri sana

Share nasi uzoefu wako! 📢👇
Naamini kila mtu ana hadithi ya kipekee ya kusimulia.

#JamiiForums #Jamii #Uhalisia #UzoefuWako
Kamuulize maxence merlo
 
Kuna mada moja ililetwaga humu miaka kama 4 au 5 iliyopita
Kipindi hiko humu Jf kila mwanamke anajiita pisi
Jamaa akaomba mchezo na pisi moja pm, akakubaliwa, kumbe bwana ulikuwa mchongo.
Yule dada kafika lodge kumbe jamaa kategesha camera chumbani.
Yule dada hatakuja kusahau ile aibu halafu wote tulikuwa tunamuona bonge la demu na mkali balaa hapa jukwaani, kumbe hakuna kitu na ni aibu sana.
Pia kosa kubwa alilofanya yule dada ni kuchati kupitia Pm mpaka sura yake.
Jamaa aliscreenshot kisha akaja na uzi wenye naked video ya yule dada pamoja na picha zake.
Jamaa alikula life ban na ile Id ya yule dada last seen yake imesimama July 2019 mpaka leo.

Kwahiyo hizi ndizo sababu za wengi kukataa kufahamika
Huyo jamaa alikua mshamba
 
Back
Top Bottom