Khaaa!! binti kiziwi hukuwepo kweli kipindi kile?Huu umbea ni wa mwaka gani? Siamini kama ulinipita.
And kwanini walimfanyia hivyo? Yarabi !
Ikawaje ukampa auNilikutana naye huko Namnyere kijijini kabisa.
Kile Kijiji wenye smartphone tulikuwa watatu tu.
Mwingine zamani kama 2010 hivi nilikutana nae akanambia nimtajie jina langu la huku kwani yeye ni Mods ili asinipige ban
Siwezi kutoa maelezo mkuu!Kwa nini mkuu π
Hahahaha, mkuu nimekosea wapi tena!!Daaah we jamaa toka mwanzo nakuonaga ni mkorofi tuu ππππππππ
Asante mwayaMama wa mapishi jf hapa..
Hakuna mtu jf hapa akapika bila kukutag wewe hapo ππππ
I miss u my aunt[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwanini?
Wee mtu wa varangati tuu mkuu nakuona sanaHahahaha, mkuu nimekosea wapi tena!!
Ahahaha weeeh ila kwa sasa adimu ujueAsante mwaya
Nashukuru sana napenda sana kula pia ππ
Ooh hata siwazi nachojua humu tupo watu wa aina tofaut na sina time ya kujimwambafai humu kisa hatujuani..... Niko normal tuu ... MadamKufungua sio shida, shida wakati nataka ku-reply post ya mtu au kuchangia mada.
Daah misukule Tena πKuna kiazi mmoja anajiita Lucas Mwashambwa ,yule fala niliwahi chungulia kwenye simu yake wakati akiandika mada zake za kipuuzi humu jamii forum akiwa kwenye bus / daladala
Yule lofa ni kapuku mmoja na sura mbaya imepauka kama misukule ya Lumumba street