Je, umewahi kukutana na mtumiaji wa JF katika maisha ya uhalisia (Jamii)?

Huna umalaya huo bwana weweee usidanganye watu.....siku ile nusu nikusanue🀣🀣🀣🀣ila wewe ni kaka mstaarabu tofauti na huku kabisa
 
Vizuri.
Ila nadhani hukuwepo tangu zamani humu ndio maana tunaongea lugha mbili tofauti.
But, ni vema kuishi vile tunavyotaka
Yep nimejiunga rasmi 2022...... Before nilikuwa nasoma tuu kupitia google since 2014-15 hapo, nilipogundua Kuna hii jamii forum...... ko sikuwa naifatilia kihivyo kama sasa hivi madam
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…