Je, umewahi kukutana na mtumiaji wa JF katika maisha ya uhalisia (Jamii)?

Yep nimejiunga rasmi 2022...... Before nilikuwa nasoma tuu kupitia google since 2014-15 hapo, nilipogundua Kuna hii jamii forum...... ko sikuwa naifatilia kihivyo kama sasa hivi madam
Okay, safi sana mkuu kama ulikuwa unaifuatilia tangu hapo awali.
Ila humu palikuwa pa moto sana.
Na pakaanza kupoa baada ya baadhi ya members kuanza kufungua magroup ya WhatsApp na kuanza kujizolea wana jukwaa
 
Hizo group za WhatsApp zipo active? Au ndo zishapoteana ?

Nimekuwa nikipata vitu vingi humu hususani kupata shule nzuri advance, pamoja na Mambo mengine niliyohitaji assistance kama kazini nilikuwa ofisi ambayo Haina mwelekezaji zaidi umpigie simu mtu yupo eneo jingine akupe maelekezo,

Lakini kupitia humu nilijua vitu kiasi chake katika ile kazi bila ya yule muongozaji wa awali...
 
Yes, baadhi ya groups ziko active na nyingine zilijifia zenyewe.
Hongera kwa kufanikisha baadhi ya kazi kupitia Jf
Humu kuna rika mbalimbali na maoni pambanuzi ya baadhi ya watu.
Safi sana.
 
Yes, baadhi ya groups ziko active na nyingine zilijifia zenyewe.
Hongera kwa kufanikisha baadhi ya kazi kupitia Jf
Humu kuna rika mbalimbali na maoni pambanuzi ya baadhi ya watu.
Safi sana.
Aseeh na bado nazidi kujifunza yaan hapa nna app mbili tu WhatsApp na jamii forum kwingine naona bdo bado ... Nafurah kuwa huku..
 
Huyo uliye muona na tisheti ndo mimi sasa...
Hbr za cku kiongozi...
 
Nipo nao kwenye group moja la watsap, kuna lijamaa limoja linapenda kujifanya lijuaji utafkir paulo makonda
 
Katika mtandao unaowaumiza vichwa TISS ni huu wa JamiiForums
Na siku hizi wakigundua wewe ni wa kiume wanakutumia madem inbox unase wamalizane nawe. Wakigundua ni dem wanakutumia nauli na ya kutolea ndo mwisho wako.

JF tupo wengi sana lakini uangalifu wetu umeyusaidia kudumu hadi sasa.

Kongole kwa team nzima ya JF chini ya slim Maxence Melo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…