Nadhani hii inatokana na ufeki wa baadhi yetu hapa jukwaani.Hahaha hivi ni kwa nini member huwa hawataki kufahamika uhalisia wao?
Privacy, utekwe😃Hahaha hivi ni kwa nini member huwa hawataki kufahamika uhalisia wao?
Very true yule dada nilipo muuliza akasema yeye hayupo Instagram, TikTokComment bora mpaka sasa ya uzi huu, Hakika watumiaji ni wengi sana na hao mliowataja nahisi kuna wasanii hawawafikii kwa umaarufu.
Binafsi naamini mtu aliye JF anakitu cha ziada kichwani mwake
Basi huyo ndiye aliyeshindwa mpambanoNimekumbuka Kati yao mmoja hakutokea
Ila wapo usikute wengine ni watu wako wa karibu sanaMi sijawahi kumwona JF.
sisi watu wagambe tuna kutana tu tunaweka vitu mbavuni wala hakuna nongwa🤣Nadhani hii inatokana na ufeki wa baadhi yetu hapa jukwaani.
Let's say labda mie Katrina najisifu hivi na vile halafu unanikuta katika uhalisia sipo kama ninavyojisifu unategemea moto wake hapa jukwaani utakuwaje?
Halafu sikuhizi kuna.....ambatanisha picha....
Yaani mtu akinijua kuwa mimi ndo fulani atanipiga na picha kisha itakuwa mada jadiliwa hapa jukwaani
Sasa katika kuepuka aibu ndogo ndogo kama hizo ndo tunaona heri tusifahamike tu😁😁
MkafanyejeNishakutana na Mshangazi si chini ya mara 2
Nisiende mbali sana, omba mualiko na wewe ukutane naye uje kutupa mrejesho hapa. Genta ni mtu poa sana😁Yupoje 😁
Sana yani ukiona mdada mpaka kafika huku na kawa member kwa mda mrefu jua kabisa huyo anakitu cha ziada kichwani.Very true yule dada nilipo muuliza akasema yeye hayupo Instagram, TikTok
Ni kweli jamii forum ni jukwaa halisi la watu wenye kitu KICHWANI.
Yule dada nilikua interested nae yupo vizuri upstairs ana logic unajua humu jamvini Tunapata CHAKULA ya UBONGO.
Walitoka droo🤣🤣 Matokeo vipi yalitumwa huku JF?
Oh kumbe huwa anakubali mialiko?Nisiende mbali sana, omba mualiko na wewe ukutane naye uje kutupa mrejesho hapa. Genta ni mtu poa sana😁
Tena wa nyumbani humu ni wengi kama nyumbu wa serengeti ukijichanganya tu ni rahisi kujulikana🤣1.2019 nipo kwenye Coaster natoka Arusha kwenda Moshi...Nilikaa ile siti karibu na mlangoni...nipo JF kuna Uzi mmoja ulikuwa hot sana na Dada mzuri Heaven Sent kuna ushauri alikuwa anautoa kwenye hiyo mada..nikawa nafuatilia kwa makini sana wakati huo sikuwa active sana hapa jukwaani...kufika Machame road kuna Abiria akashuka Mkaka( si haba)😃wakati anashuka akaniambia kumbe wewe ndiyo Makiseo( ID yangu ya mwanzo).
2. Kibaruani kwangu...Kuna mmojawapo alinibamba...Kipindi App ikiwa ipo poa...Ila hakuona ID...Akaniambia kumbe Familia😄
UkatembezaNishakutana na Mshangazi si chini ya mara 2
Ukatembeza
Ni wengi siyo poa😅Tena wa nyumbani humu ni wengi kama nyumbu wa serengeti ukijichanganya tu ni rahisi kujulikana🤣
Najua kuna ambao wanakutana kwa matukio maalum.sisi watu wagambe tuna kutana tu tunaweka vitu mbavuni wala hakuna nongwa🤣
Mkafanyeje