Je, umewahi kukutana na mtumiaji wa JF katika maisha ya uhalisia (Jamii)?

Tutajie ID zao mkuu, sio dhambi kama wamepotea
 
Duh kumbe ndo mapaka wana wanafikia huko, hii sio tabia njema kwa maana wanafanya watu wapate uoga kuanzisha mahusiano kupitia JF.

Japo wengine wanaogopa kwa sababu wanaamini ID nyingi za kike ni fake zinatumika na wanaume kutafuta attention ⚠️ tu
 
Kabisa, wanawakosesha wengine uhondo.
Sahv asilimia kubwa ya wadada na Id za kike wamefunga Pm zao.
Sio kama wanapenda, la hasha! ni kutokana na jinsi matumizi ya mitandao inatumiwa ndivyo sivyo.

Zamani tulikuwa tunakutana pasi na shaka,ila kwa sasa uoga ni mwingi mno
Na uaminifu umebaki kwa wale tunaowafahamu personal tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…