Je, umewahi kukutana na mtumiaji wa JF katika maisha ya uhalisia (Jamii)?

Je, umewahi kukutana na mtumiaji wa JF katika maisha ya uhalisia (Jamii)?

Mimi uwa najiachia sana popote pale, mwaka huu mwezi wa 4 nilikuwa maeneo ya mlimani city kuna mzigo nilienda kununua sas wakati wanafanya packing nkakaa kwny kiti nikawa napitia humu kuna mdada alikuja akaona nikiwa naperuzi aliachia tabasam kisha akanambia nafurahi kukutana na member mwenzangu akanipa mkono akaondoka ila sijui alijua ID yangu coz uwa i don't care hata mtu ajue ila sikumjua yeye anatumia ID gan ni pisi haswaa kama upo please najua utakumbuka ili tukio.
Huyo atakua mod😹
 
Wanaume wa humu hamshindwi na jamboreeeee.....
Niko humu tangu enzi ya Jambo forum mpaka kuwa Jamii forum.
Nawajua vilivyo wanaume wa Jf.
Yaani usithubutu kujichanganya!!!

Afu kuna ile ya kualikana member kwenye uwanja wa Pm kisirisiri
Demu anajua anachati na mchizi Pm peke yake kumbe mchizi kaalika masela wenzake wanaona kila kitu.
Sasa balaa linakuja jukwaani, unajiuliza mbona tulikuwa tunachati wawili tu? Imekuwaje hawa wengine wana mpaka screenshot zangu?
Babba.....toka mbioooo👣👣👣👣👣💨💨💨
Hii nakumbuka mpaka uongozi wa Jf ulikuja kulitolea ufafanuzi maana naona sahv kidogo baadhi ya members wamekuwa na uelewa na kusanukia mchezo huu.
Palikuwa pamoto sana enzi hizo, Kwamba mtu ukikosekana kwa hata dakika moja unapitwa na Mambo kama ya siku 365 🙌
 
Habari za muda huu wanajamvi!

Je, umewahi kukutana na mtumiaji wa Jamii Forums katika maisha ya uhalisia (Jamii)?
🔹 Ulijisikiaje?
🔹 Ulijitambulisha kuwa na wewe ni mwanachama, au ulifanya kama hauijui kabisa?
🔹Baada ya kujitambulisha mlikuwa na mazungumzo ya aina gani?

Nimeuliza hivi kwa maana watumiaji wengi wa JF hutumia huu mtandao kwa Siri sana

Share nasi uzoefu wako! 📢👇
Naamini kila mtu ana hadithi ya kipekee ya kusimulia.

#JamiiForums #Jamii #Uhalisia #UzoefuWako
sasa kwanza utajuaje kama huyu ndie fulani?

Pili kkama mna miadi ya kukutana si mnaonana unajitambulisha nn!!
 
Back
Top Bottom