Je, umewahi kukutana na mtumiaji wa JF katika maisha ya uhalisia (Jamii)?

Je, umewahi kukutana na mtumiaji wa JF katika maisha ya uhalisia (Jamii)?

Habari za muda huu wanajamvi!

Je, umewahi kukutana na mtumiaji wa Jamii Forums katika maisha ya uhalisia (Jamii)?
🔹 Ulijisikiaje?
🔹 Ulijitambulisha kuwa na wewe ni mwanachama, au ulifanya kama hauijui kabisa?
🔹Baada ya kujitambulisha mlikuwa na mazungumzo ya aina gani?

Nimeuliza hivi kwa maana watumiaji wengi wa JF hutumia huu mtandao kwa Siri sana

Share nasi uzoefu wako! 📢👇
Naamini kila mtu ana hadithi ya kipekee ya kusimulia.

#JamiiForums #Jamii #Uhalisia #UzoefuWako

Verified user Paskali nilimuona sabasaba maonyesho kwenye PPR.
 
Joannah 🤣🤣🤣 nipe huu umbea 😜
Labda nikupe ya yule aliyetoka mwanza akatelekezwa gesti akapewa buku7 wakaja kutukanana humu hatari au yule aliyepelekwa hotel na mwanajf asijue ni member baada akarusha picha humu anajishaua ye ni boss lady anapumzika hotel zenye hadhi kwa pesa zake ghafla jamaa kamsanua karusha picha na yeye za same room akiaminisha umma yeye ndio sponsor kilikuwa kitimutimu dada akabadili I'd chap kwa
 
kwahiyo Joannah wewe ndo maimartha wa jf au lokole
 
Back
Top Bottom