Fact mkuu, ila kuna muda inakua kero..
Mkuu usiwasikilize watu...Habari wakuu
Je, umewahi kupitia bullying kutokana na maumbile au muonekano wako, ni namna gani iliathiri saikolojia na maisha yako kiujumla na je ni namna gani ulipambana na tatizo hili.
Binafsi kuna kitu hakipo sawa kwenye mwili wangu ( siwezi taja ) imekua ikiathiri sana saikolojia na maisha yangu in general, shule niliiona chungu
Mwisho kabisa kama kuna mtu anataka kunipinga nasema hivii nipe mkono tushindane nipeeee ([emoji23]jokes)
[emoji1545][emoji1545][emoji1545] ..Nikuambie kitu mkuu, usionyeshe hiyo hali ya kutojikubali mbele ya wazazi wako huwa inawauma kuliko unavyofikiri sema hawawezi kukuambia tu. Kitu kingine,jaribu kuwasikiliza wazazi wako katika hili,kumbuka wazazi ni kama Mungu wa pili unaweza force operation isiende vizuri. La mwisho,jipende hata watu unaowaona wamekamilika wana mapungufu yao mengi tu ila wanajipenda
Wanakawe tunamjua vizuri huyo kijana,anaitwa mwidini mjuku wa mzee kigodora.Ukitaja hiko kitu na sie tutataja ila kama unaficha, tegemea watu kutokusupport sredi yako.. N'way niko na shemeji yako hapa na enjoy nae kimtindo.
View attachment 2019811
He's got wings!He can even fly!God blessed to you with beautiful hearing gears!
No need to worry
You're still beautiful.
[emoji3059]
Ndiyo mimi mkuu, huwa nawapiga piga kimtindo, sema wakulungwa wananikandia sana.Wanakawe tunamjua vizuri huyo kijana,anaitwa mwidini mjuku wa mzee kigodora.
Dada zetu wanampenda sana huyo jamaaa, nadhani kimasihara hua anapigaaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ndiyo mimi mkuu, huwa nawapiga piga kimtindo, sema wakulungwa wananikandia sana.
Sasa husemi una mapungufu gani ya kimaumbile tutachangia lipi la maana sasa,yamkini hata na picha ungetuonyesha umepungukiwa wapi ili tukushauriHabari wakuu
Je, umewahi kupitia bullying kutokana na maumbile au muonekano wako, ni namna gani iliathiri saikolojia na maisha yako kiujumla na je ni namna gani ulipambana na tatizo hili.
Mwisho kabisa kama kuna mtu anataka kunipinga nasema hivii nipe mkono tushindane nipeeee ([emoji23]jokes)
Ninaweza kujaza uzi huu mzima visa vyangu, na bado bullying napewa had now time na sio kwa tatzo 1 n mengi mno, vile nimechagua maisha Yang binafsi wala sipat tabu.Hayaja kukuta mkuu