Heheheh hii ni sana kwa watoto wa kike i usually hear these stuffs ati wameniangalia vibaya like yow, wale achana nao wako na mambo yao sio wewe bana 😅 then kamtu kanajifeel poa!Kutaniwa na kuchekwa kunafanya mtu kua insecure maana hata watu wakicheka na yao utajihisi unachekwa wewe. Hata uwe commando vipi deep down lazima uumie.
Bullying is bad ila inawafundisha watoto kuwa makamanda! Teach your child kwamba nobody steps on to you stay safe 😅 chapa nakoz wajinga wajinga...Wakishtaki ntakuja kukutetea kwa staff!Bora una regret. Yan bullying inatesa watoto mashuleni.
Masikio kama majani ya maboga 😅!!! Au kama dish la gulf star?Hata Mimi nilipata kutaniwa sana na tatizo hili na ninalo ila now Niko Chuo na nilitaniwa sana nilipo kuwa shule msingi na sekondari ila nilipokuwa nakuwa na mama yangu aliwahi nambia una masikio mazuii kama ya .... Hii ilipelekea kunitia moyoo sana kwa hiyoo nulineglect hayoo maneno yaoo
Habari wakuu
Je, umewahi kupitia bullying kutokana na maumbile au muonekano wako, ni namna gani iliathiri saikolojia na maisha yako kiujumla na je ni namna gani ulipambana na tatizo hili.
Na sitaki mwanangu awe Bullied na pia asiwe bullieBora una regret. Yan bullying inatesa watoto mashuleni.
Hakuna mtu anayetaka people's approval, ambacho mtu hapendi ni Ile hali ya kuchekwa na kudhihakiwa, we fikiria unapita tu barabarani mtu anakuita nyani na humjui hakujui is it what u call seeking people's approval ?? ..Hahahahah if you always need peoples approval to be happy then you are a bitch hata kama unamiliki kende! A real man don’t need nobodys approval to be aiight!
Kwa wanawake its usual kupenda kuambiwa umependeza kila wakati, makes them feel precious and confident. Kwa mwanaume we don’t need that at all! So kumshauri jamaa afanye surgery its okay kama ataafiki ila sio lazima sana.
Mimi mtu ham-bully mtoto wangu. Nitakula naye sahani moja. Ila sio watoto wote wana confidence ya kuwaambia wazazi wao kuhusu kua bullied maana wazaz wengine hawana hata muda na watoto wao hata kujua kuna kitu tofaut kwa mtoto inakua ngumu.Bullying is bad ila inawafundisha watoto kuwa makamanda! Teach your child kwamba nobody steps on to you stay safe [emoji28] chapa nakoz wajinga wajinga...Wakishtaki ntakuja kukutetea kwa staff!
Ni noma yani muhimu kuwa na mtoto benetiMimi mtu ham-bully mtoto wangu. Nitakula naye sahani moja. Ila sio watoto wote wana confidence ya kuwaambia wazazi wao kuhusu kua bullied maana wazaz wengine hawana hata muda na watoto wao hata kujua kuna kitu tofaut kwa mtoto inakua ngumu.
Na hiki ndicho kilichokua kikinitesa sana, hawajawahi kuwa na muda kabisa...Mimi mtu ham-bully mtoto wangu. Nitakula naye sahani moja. Ila sio watoto wote wana confidence ya kuwaambia wazazi wao kuhusu kua bullied maana wazaz wengine hawana hata muda na watoto wao hata kujua kuna kitu tofaut kwa mtoto inakua ngumu.
Ni tabia mbaya sana akikua nayo kama ya mtoto wa Corey Benjamin former NBA player. Anapiga wenzie mpaka anawaumiza. Asipopata msaada wa afya ya akili atakua mtu mwenye tabia mbaya mno halafu mengine mama yake anasupport. Sometimes lawama zitufikie wazazi.Na sitaki mwanangu awe Bullied na pia asiwe bullie
Mtoto wa kike aibu lazima hahaaaaa.Heheheh hii ni sana kwa watoto wa kike i usually hear these stuffs ati wameniangalia vibaya like yow, wale achana nao wako na mambo yao sio wewe bana [emoji28] then kamtu kanajifeel poa!
Kwa mimi hata ushinde unacheka kama Tom & Jerry huwa siwazagi[emoji28]! I guess i am super confident with who i am.
We unaonekana una aibu sana Ms Van?
Ila cliques ndo zinasababisha bullism kuendelea, shule zapaswa piga marufuku makundi.... Huwezi bull mtu bila kuwa na kundi nyuma yako.Ni tabia mbaya sana akikua nayo kama ya mtoto wa Corey Benjamin former NBA player. Anapiga wenzie mpaka anawaumiza. Asipopata msaada wa afya ya akili atakua mtu mwenye tabia mbaya mno halafu mengine mama yake anasupport. Sometimes lawama zitufikie wazazi.
Duh noma sema naiman chura unaye maana mademu wenye chura sikuhizi wanajiamini kuliko ma meneja wa bank.Mtoto wa kike aibu lazima hahaaaaa.
Lakin mtu ambaye unajiona maumbile yako hayako kama wengine usikie watu wanacheka utajishtukia tu. Mfano kama zaman tulikua tunaambizana akipita mlemavu wa ngozi ujitemee mate kifuani ili usipate mtoto wa hivyo. Imagine vile apite mtu mwenye shida hiyo halafu watu wapo busy kujitemea mate kifuani
Ni kweli. Makundi yale yanayojifanya ndio wandewa shuleni.Ila cliques ndo zinasababisha bullism kuendelea, shule zapaswa piga marufuku makundi.... Huwezi bull mtu bila kuwa na kundi nyuma yako.
Mimi mzuri ila chura sina [emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Duh noma sema naiman chura unaye maana mademu wenye chura sikuhizi wanajiamini kuliko ma meneja wa bank.
Ndio maana huwa unajistukiaga basi 😅 jiamini bana we mrembo kama priyanka chopra chura sio ishu sana sura inaita😅Mimi mzuri ila chura sina [emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Pole sana mkuu. Lakin ukifanya operation ukija kupata watoto wakawa wameyarithi itakua changamoto kwao. Bora wewe kama baba ukiwa nayo watakua wanafanya reference masikio kama ya baba yao. Na wao itawapa confidenceNa hiki ndicho kilichokua kikinitesa sana, hawajawahi kuwa na muda kabisa ..
Najua namna ambavyo bullying inatesa, hivyo kama itatokea mtot wangu kuyarithi basi na yeye atafanyiwa operation, siwezi kuruhusu awe bullied najua madhara yake ..Pole sana mkuu. Lakin ukifanya operation ukija kupata watoto wakawa wameyarithi itakua changamoto kwao. Bora wewe kama baba ukiwa nayo watakua wanafanya reference masikio kama ya baba yao. Na wao itawapa confidence
Mie sijishtukii hata sina wasiwasi hata kidogo. Makalio kila mtu anayo sema size tofauti tu.[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Ndio maana huwa unajistukiaga basi [emoji28] jiamini bana we mrembo kama priyanka chopra chura sio ishu sana sura inaita[emoji28]