ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 22,235
- 51,111
- Thread starter
- #221
Sawa mkuu na iwe hivyokifo changu natamani kisiwe kifo cha mateso sana, lakin pia nataman nipate hata dakika 3 za kujikabidhi mbele za YESU, nitubu dhambi zote nilizozifanya enz za uhai wangu.