Je, umewahi kutamani kifo chako kiwe cha namna gani?

Je, umewahi kutamani kifo chako kiwe cha namna gani?

Nife baada ya wazee wangu kutangulia, kwanini ..? nataka wafurahi kuniona kuona wajukuu na vitukuu vyao ndipo waende kwa amani halafu sasa mwamba nifuatie
 
kifo changu natamani kisiwe kifo cha mateso sana, lakin pia nataman nipate hata dakika 3 za kujikabidhi mbele za YESU, nitubu dhambi zote nilizozifanya enz za uhai wangu.
 
Back
Top Bottom