Je, umewahi kutamani kifo chako kiwe cha namna gani?

Je, umewahi kutamani kifo chako kiwe cha namna gani?

nimekinai toka niko early 20s, sion kipya kila siku tunafanya marudio ya vitu vile vile maisha yote. Kuna watu kama mimi sion purpose ya kuzaliwa.
Dah sijui hata niseme nini?

Ila kama huna matatizo makubwa hebu kufurahia maisha kaka

Kama kipato kipo fanya hata safari kwenda nchi mbali mbali

Fanya meditation kama unaweza
 
Hakuna KIFO kibaya wala kizuri inategemeana na mtazamo wako kiuhalisia vitu tunavyoviogopa mfano KIFO hutokea mara moja kikubwa ni kufurahia maisha siyo kutamani aina ya kifo KIFO NI KIFO
 
Dah sijui hata niseme nini?

Ila kama huna matatizo makubwa hebu kufurahia maisha kaka

Kama kipato kipo fanya hata safari kwenda nchi mbali mbali

Fanya meditation kama unaweza
Unatakiwa ufahamu wanadam wanadam tumeumbwa tofauti, ambacho nafikiria mimi unaweza kuona hakiko sawa na cha kwako kiko sahihi. Ki Uhalisia wote tunachofiria ni sahihi.

Wewe unaipenda dunia na mimi siipendi, hakuna kosa hapo ni mitazamo tofauti.
Kama kungekua na haki ya kuomba kuchomwa sindano ya kifo maybe some organs ukagawa kwa wanaohotaji zaidi yangu, wenye ndoto hio.. niko teyari kuwapatia as long wana-enjoy maisha ya hapa dunia.
Hii dunia haina jipya..nimeshajaribu vitu vingi hakuna kinachonipa furaha.
Nimeshasafiri sana mkuu, meditation tunafanya… ni kwamba I don’t enjoy dunia anymore. Dunia sio kwa ajili yangu
 
Poleee sana aisee
Sijui nikuambie nini 🄲 šŸ«‚
 
Hapana sitaki tuwe na mawazo sawa ila comment yako isome tena na utagundua ni kama ulimaanisha kua mimi kuwaza habari ya kifo na mwisho wa maisha ni kama inatafsri kwamba nina roho mbaya kiasi naweza hata kuua mtu yaan ni kama umehitimishq mimi kwa huwaza hivyo nina uwezo wa kuua mtu

Umenishangaza sana aisee šŸ˜…šŸ˜…
Hujaelewa, ukoirudia utaelewa maana yangu.

Yaani nimejali usalama wako, unanituhumu tena nadai unataka kuua šŸ˜€šŸ˜€.

Hiyo ilikua mifano wala sikumaanisha wewe, usichukulie kila comment iliyo tofauti inakuattack.
 
We nae 🤣🤣🤣 niache
 
Mkuu kuna mstari mwembamba sana kati ya kukifikiria kifo kama sehemu ya maisha yetu na kukitumia kifo kama control mechanism.

Kifo ni reality, kuwaza kifo ni kawaida kwa mtu mwenye akili timamu, tatizo linaanza pale unapoanza kulitumia hilo wazo kama kisingizio cha kukata tamaa, unapojipa mamlaka ya kuamua hatima ya mtu mwingine kwa kisingizio kwamba una mapenzi/upendo na huyo mtu tatizo ndiyo linaanzia hapo, mfano mzuri ni huo ulioutoa wa hao wana ndoa.

Kifupi tunahitaji kuwafundisha vijana kwamba unapokuwa na uwezo wa kukitafakari kifo, unakuwa na nafasi ya kipekee ya kuwa na utulivu wa ndani, na huu ujasiri huwa unakamilika pale tu utakapouelekeza kwenye kuishi kwa kusudi, ukiwa na kusudi, utaona kifo ni tukio la kawaida tu, na ile exit strategy inapotea kwa sababu tayari utakuwa na uelewa kuwa maisha yako yana thamani kubwa tu.

Hekima ni kuishi maisha ambayo kifo kinapotokea basi kikukute ukiwa umekamilisha wajibu wako.
Yes wewe umenielewa vyema kiongozi ..

Kufikiria kifo sio jambo baya hata kidogo, tahadhari niliyompa mleta uzi ni kushare yeye angependa kufa vipi.

Kwa jamii yetu sio salama sana, unaweza kuhatarisha usalama wako.
 
Hapana Mkuu napingana na wewe kwenye hili, ukiishi maisha mema, hata mabaya yanakaa mbali na wewe, ukiwa mtu wa haki, usiyenyanyasa wenzako mabaya yanakuwa mbali na wewe amini hilo, utakufa katika uzee mwema
Sio kweli. Wapo watu wema wamekufa vifo vya simanzi sana. Maisha hayana formula ndugu yangu.

Refer: kifo cha mchungaji Christopher Mtikila, Dkt. Mvungi Sengodo, Prof. Juan Mwaikusa etc.
 
Back
Top Bottom