Je, umewahi kutamani kifo chako kiwe cha namna gani?

Hiii hua mbaya sana

Vizuri sana

Kushindiliwa kifusi unaogopa
So bora moto
anyway kama unaweza waambie ndugu zako

Usijitutie furahia maisha
Kwenye kifo ndo naogop tuu kuchomwa nilisikiliza yule jamaa anayechoma watu makumbusho anasema ni approx 40mio sasa hiyo mpk niwe tajiri kweli kweli ili nikifa niwe na wosia kwamba 40mio zitumike kuniunguza na sio kuchangishana tena,,

Eniwei
 
Jukwaa huru mkuu,
Unaweza kuuliza usiwe na shaka na privacy yangu, nitakujubu yaliyopo ndani ya uwezo wangu.
Karibu
Umesema upo 30 na zaidi kwanini tayari umesema umekinai maisha kwa umri huo?
 
sijui kama itawezekana kubadili huu mtazamo wako

Mf: mimi kwa wanaonijua wanajua moyo wangu ulivyo clean kabisa

siwezi sipendi kuumiza wengine
Wala kushiriki kua sehemu ya mtu yoyote kuumia nakusahihisha kua mawazo yako hayana ukweli wowote

So ningekuomba tu mkuu kama unavyowaza future yako
Basi usiache kuwaza na mwisho wako
@Marcostilone ongezea hapa k
Mkuu hiyo kusema wanaokujua wanajua moyo wako sidhani kama ni kweli, kwenye hiyo story yangu huyo babu alitaka afe mwenyewe ila bibi akataka waende wote, mwisho wao uwe wa pamoja. End of the day kaenda mmoja huku mume akifa akiamini mpendwa wake yuko nyuma yake kumbe ndio hivyo mioyo tofauti.

Wewe utawaza hivyo ila wapendwa wako huenda wakatafsiri tofauti.
Hii story yako ina funzo lipi
Au inahusiana vipi na hii mad
Kua kupenda mwisho wako uwaje ni siri yako, sioni kama ni vizuri kushare. Kwa dunia ilivyo sasa unaweza kuuawa kwa style upendayo ikaonekana ndivyo uliwish kifo chake kiwe hivyo na ukizingatia vyombo vyetu vya usalama vilivyo vya hovyo.

Sio vibaya kuwaza ufe vipi ila sio vizuri zaidi kushare unapenda ufe vipi.
 
Kifo ni kujiandaa, ukitaka ufe kifo cha amani bila kelele basi jitahidi kuishi maisha mema
Kuna maradhi yakiingia mwilini hata kama ulijiandaa vipi kifo kitakuwa cha maumivu makali sana, maana unaweza kulala kitandani mwaka au zaidi unapambania uhai ambao unatoweka.

So, unaweza kuishi maisha mema sana, ila mwisho ukawa wa taabu tupu.
 
Kwenye kifo ndo naogop tuu kuchomwa nilisikiliza yule jamaa anayechoma watu makumbusho anasema ni approx 40mio sasa hiyo mpk niwe tajiri kweli kweli ili nikifa niwe na wosia kwamba 40mio zitumike kuniunguza na sio kuchangishana tena,,

Eniwei
Ooh sawa mkuu you never know
Any time can happen
 
Mkuu hiyo kusema wanaokujua wanajua moyo wako sidhani kama ni kweli, kwenye hiyo story yangu huyo babu alitaka afe mwenyewe ila bibi akataka waende wote, mwisho wao uwe wa pamoja. End of the day kaenda mmoja huku mume akifa akiamini mpendwa wake yuko nyuma yake kumbe ndio hivyo mioyo tofauti.
Hebu nyooka baasi
Naona unaleta kona na longo longo
so mimi kuwaza kuhusu mwisho wa maisha yangu na kutamani namna ningependa kifo changu kiwe

Ni ishara naweza kuua mtu?
Wewe utawaza hivyo ila wapendwa wako huenda wakatafsiri tofauti.

Kua kupenda mwisho wako uwaje ni siri yako, sioni kama ni vizuri kushare. Kwa dunia ilivyo sasa unaweza kuuawa kwa style upendayo ikaonekana ndivyo uliwish kifo chake kiwe hivyo na ukizingatia vyombo vyetu vya usalama vilivyo vya hovyo.
Kwa mawazo haya naomba nikutakie wakati mwema brother 🙏🙏🙏
Sio vibaya kuwaza ufe vipi ila sio vizuri zaidi kushare unapenda ufe vipi.
Nimejikuta nacheka sana 😁
Asantee kwa maoni yako na karibu tena
 
Kuna maradhi yakiingia mwilini hata kama ulijiandaa vipi kifo kitakuwa cha maumivu makali sana, maana unaweza kulala kitandani mwaka au zaidi unapambania uhai ambao unatoweka.

So, unaweza kuishi maisha mema sana, ila mwisho ukawa wa taabu tupu.
Hatari sana babu dah
 
Hapana Mkuu napingana na wewe kwenye hili, ukiishi maisha mema, hata mabaya yanakaa mbali na wewe, ukiwa mtu wa haki, usiyenyanyasa wenzako mabaya yanakuwa mbali na wewe amini hilo, utakufa katika uzee mwema
 
Kwa hiyo wanaopata saratani(vifo vya saratani visikie nyumba ya tano) wote waliishi maisha mabaya? Kwenye vitabu vya Mwenyezi Mungu tunasoma "nitawapatiliza wana maovu ya baba zao, hata kizazi cha tatu na cha nne" unaelewaje hapo?
 
Kwa hiyo wanaopata saratani(vifo vya saratani visikie nyumba ya tano) wote waliishi maisha mabaya?
Kuna jirani aliumwa saratani alikatwa matiti yote mawili aliteseka sana

Na sikuona ubaya wake aliokua nao hata akateseka vile aiseee

apmzike kwa amani
Kwenye vitabu vya Mwenyezi Mungu tunasoma "nitawapatiliza wana maovu ya baba zao, hata kizazi cha tatu na cha nne" unaelewaje hapo?
Hii sasa ni mada nyingine kabisa babu ngoja niiache
 
Kwa hiyo wanaopata saratani(vifo vya saratani visikie nyumba ya tano) wote waliishi maisha mabaya? Kwenye vitabu vya Mwenyezi Mungu tunasoma "nitawapatiliza wana maovu ya baba zao, hata kizazi cha tatu na cha nne" unaelewaje hapo?
Haujamalizia huo mstari, anasema nitawapatiliza wana maovu ya baba zao, hata kizazi cha tatu na cha nne cha wanichukizao, kwani chanzo cha saratani nini mkuu?
 
Kuna jirani aliumwa saratani alikatwa matiti yote mawili aliteseka sana

Na sikuona ubaya wake aliokua nao hata akateseka vile aiseee

apmzike kwa amani

Hii sasa ni mada nyingine kabisa babu ngoja niiache
Hiyo saratani aliirithi?
 
Kuna jirani aliumwa saratani alikatwa matiti yote mawili aliteseka sema

Na sikuona ubaya wake aliokua nao hata akateseka vile aiseee

apmzike kwa amani

Hii sasa ni mada nyingine kabisa babu ngoja niiache
Na ndio maana hasa ya kupatilizwa maovu ya wazee wetu, tunalipia makosa ya vizazi vilivyopita, tunarithi magonjwa hatari waliyopata wazee wetu, sukari, moyo, shinikizo la damu, saratani nk. Mtu anapata saratani ana miaka 35 tu, kuna baya gani huyu mtu kafanya ili apitie maumivu makali namna hii kukatwa matiti yote?
 
Back
Top Bottom