Je, umewahi kutamani kifo chako kiwe cha namna gani?

Je, umewahi kutamani kifo chako kiwe cha namna gani?

Kwakuwa kifo kina raha kwa mujibu wa sayansi, nitapendelea kifo kisicho cha ajali kwakuwa natamani kuipata raha hiyo.
Hapa sasa upo kwenye mada husika
Hivi kumbe kwa mjibu wa sayansi kifo kina raha?😳

Nje ya mada huko kwenye ndoa utasikia ooh mume wangu akifa je

Kwamba ni lazima mwanaume ndio awe wa kwanza kufa 🤣🤣 wanawake 😆
 
Ni mawazo mazuri sana mkuu.

Nitajibu tokana na upeo wangu,
Niko late 30s, nashukuru Mungu kuwa hapa na kila siku maombi yangu makuu kwa Mola wangu ni mawili.
FURAHA
Nikisema furaha inaweza ikawa jambo dogo kwako zaidi ya utajiri unauomba, lakini mimi Furaha ni kitu kikubwa sana kwangu na nijukumu kubwa la vitu vingi kwa pamoja namwomba Mola wangu.
Ili niwe na “furaha” lazima niwe na afya njema, lazima nilale pazuri, nile vizuri niwe na familia yenye afya njema na furaha na mahitaji yao na kila kitu kwa ujumla(hope unanielewa)

MWISHO MWEMA
Najua mwisho wetu ni “maradhi” ama “Ajali” ni wachache sana wanakufa wakiwa usingizini. Maombi yangu nimekuwa nikiomba sana nife kifo cha usingizini ama kifo cha ghafla(Mungu aniepushie maumivu).
Namwomba sana Mola wangu asiniache na mtihani wa kuugua sana na kuwatesa ndugu zangu na watu wangu wa karibu, nisiumwe mpaka ikafika hatua ya kuchangiwa na watu kuangaika ili niendelee kuwa hai..
Namwomba Mungu nisiishi umri sana kupitiliza hata sasa akinichukua ni sawa mana nimeshaona mengi na sioni mantiki ya haya maisha ambao kuna watu bado wanang’ang’ania kuendelea kuishi.
NJE YA MADA
Siyafurahi sana maisha sababu nimeshaboeka nayo, na kama kungekuwa na nafasi ya kuchagua kuzaliwa nisingekuwepo, kuna watu wapo dunia bila kuwa na purpose na najiuliza kwa nini Mola aliwaleta na kwanini hakukua na choice ya kuchagua kuwepo dunia, mfano mtu ana mtindio wa ubongo ama mtoto kadhaliwa leo na kafa leo(why cruel world)na sasa naelewa kwanini watu wanajiua(sijasema najiua). Kuna kukinai maisha hata kama unapata kila kitu. System ya maisha ni mzunguko ule ule kwa sababu hatutosheki na kuridhika, maisha tunaona yana maana sababu tunaendelea kutafuta na kujilindikizia akiba iliyopitiliza na tusiohitaji na ambaye hana anajipa moyo kila siku aendelee kutafuta mpaka anakufa.

Na hata tungekuwa tunaishi milele tungekua soool bored 🥱

OMBI LA ZIADA “BAHATI NJEMA”
Namwomba mola wangu mara zote bahati njema. Bahati ya kuwa na familia njema, afya njema,watoto wema, kifo chema..
Ushawahi kukutana na mtu hana ujuzi, maarifa, elimu wala chochote ila ana bahati njema? Kila anachogusa kinafanikiwa. Kila siku anapanda vyeo
Mfano BASHITE
Huyo jamaa yuko na bahati njema tu ila hana maajabu. Nisimwongelee sana ila ukitafakari utaelewa ninachomaanisha

Hope nimejibu mada na ya nje ya mada.
 
Ni mawazo mazuri sana mkuu.
Shukran sana mkuu🙏
Nitajibu tokana na upeo wangu,
Niko late 30s, nashukuru Mungu kuwa hapa na kila siku maombi yangu makuu kwa Mola wangu ni mawili.
Mimi bando ngazi chache nitaingia huko kwenye 30
FURAHA
Nikisema furaha inaweza ikawa jambo dogo kwako zaidi ya utajiri unauomba, lakini mimi Furaha ni kitu kikubwa sana kwangu na nijukumu kubwa la vitu vingi kwa pamoja namwomba Mola wangu.
Ili niwe na “furaha” lazima niwe na afya njema, lazima nilale pazuri, nile vizuri niwe na familia yenye afya njema na furaha na mahitaji yao na kila kitu kwa ujumla(hope unanielewa)
Kwa namna ulivyoandika ni dhahiri kwamba furaha inajitegemea yenyewe haihusiani na utajiri

Japo naweza kusema furaha ya mtu hukamilishwa au kufika kilele kwaa kupata maitaji yake ya msingi kama ulivyosema hapo

so nimekueelewa sana
MWISHO MWEMA
Najua mwisho wetu ni “maradhi” ama “Ajali” ni wachache sana wanakufa wakiwa usingizini. Maombi yangu nimekuwa nikiomba sana nife kifo cha usingizini ama kifo cha ghafla(Mungu aniepushie maumivu).
Namwomba sana Mola wangu asiniache na mtihani wa kuugua sana na kuwatesa ndugu zangu na watu wangu wa karibu, nisiumwe mpaka ikafika hatua ya kuchangiwa na watu kuangaika ili niendelee kuwa hai..
Huyo Mungu unaemuamini ni matumaini makubwa atakujibu kama uombavyo
Namwomba Mungu nisiishi umri sana kupitiliza hata sasa akinichukua ni sawa mana nimeshaona mengi na sioni mantiki ya haya maisha ambao kuna watu bado wanang’ang’ania kuendelea kuishi.
NJE YA MADA
Siyafurahi sana maisha sababu nimeshaboeka nayo, na kama kungekuwa na nafasi ya kuchagua kuzaliwa nisingekuwepo, kuna watu wapo dunia bila kuwa na purpose na najiuliza kwa nini Mola aliwaleta na kwanini hakukua na choice ya kuchagua kuwepo dunia, mfano mtu ana mtindio wa ubongo ama mtoto kadhaliwa leo na kafa leo(why cruel world)na sasa naelewa kwanini watu wanajiua(sijasema najiua). Kuna kukinai maisha hata kama unapata kila kitu. System ya maisha ni mzunguko ule ule kwa sababu hatutosheki na kuridhika, maisha tunaona yana maana sababu tunaendelea kutafuta na kujilindikizia akiba iliyopitiliza na tusiohitaji na ambaye hana anajipa moyo kila siku aendelee kutafuta mpaka anakufa.

Na hata tungekuwa tunaishi milele tungekua soool bored 🥱
Hapa natamani kukujibu au kukuliza jambo ila nahofia Kukufanya uone nakuchunguza sana
OMBI LA ZIADA “BAHATI NJEMA”
Namwomba mola wangu mara zote bahati njema. Bahati ya kuwa na familia njema, afya njema,watoto wema, kifo chema..
Ushawahi kukutana na mtu hana ujuzi, maarifa, elimu wala chochote ila ana bahati njema? Kila anachogusa kinafanikiwa. Kila siku anapanda vyeo
Mfano BASHITE
Huyo jamaa yuko na bahati njema tu ila hana maajabu. Nisimwongelee sana ila ukitafakari utaelewa ninachomaanisha
Wanasema bahati haiji bila juhudu ila ukweli kuna watu wanajuhudi na hawabahatiki

BAHATI🤔
Hope nimejibu mada na ya nje ya mada.
Shukran sana Bro umejibu vizuri sana napenda aina ya watu wenye kuelewa mada na kuchangia kama wewe
Karibu tena 😊
 
Daah! Sijui kwa nini ila nimejikuta tu napata woga. Lol.
Pole maa na nisamehe bure😊
Kukufanya uwaze sana
Kwangu mi chochote tu ilimradi wale watu wangu wa karibu wanione na wajue nimevuta kisiwe cha kupotea au cha kwenye maji nikaenda kufia mbali halafu nisionekane tena.
Una upendo wewe hutaki kuwaacha uwapendao na Trauma ya kukutafuta
 
Wewe ukiulizwa swali kama hilo uliloniuliza utajibu vipi?😅

Yaani hilo swali fanya kama unajiuliza mwenyewe?

Kisha angalia umepata jibu gani ?

Mimi siwezi kukujibu aisee

Tosheka tu na majibu yako utakayojijibu mwenyewe 😊
Sasa mbona sisi unatuuliza maswali?
 
Pia, kwa nini kuzungumzia kifo huonekana kama uchuro?
Kuna kitu kinaitwa the art of dying ambacho wengi huwa wanakikwepa kwa sababu ya hofu ya kisaikolojia waliyo nayo.

Unajua watu wanapenda sana kupanga sherehe za siku ya kuzaliwa, harusi n.k lakini walio wengi huwa wanaogopa sana kuwaza mwisho wa safari zao, kama tunakubali kuwa maisha ni mchakato unaoanza na badae kuisha basi inabidi tukubali pia kuwa kifo ni final milestone, tusikione kifo kama uchuro.
Umewahi kutamani kifo chako kiwe cha aina fulani?
Binafsi sitaki kifo changu kiwe ni kifo cha kuhurumiwa, sitaki siku zangu za mwisho ziwe za watu kuniletea chai kitandani huku wakati huo wakisubiri nimeluke ili watafute nafasi ya kugawana mali zangu, hii ni dignity erosion.

Alexander the Great hakutaka kufa akiwa mgonjwa kitandani, unajua kwanini?

Kwasababu
Kufa ukiwa bado unakimbizana na malengo kunawafanya watu wakukumbuke kwa kile ulichokuwa unafanya.
Mara nyingi husikia watu wakisema,

Yule amekufa kifo kibaya
inasikitisha sana🥲

Hapo unajiuliza, kama kuna kifo kibaya, je, kuna kifo kizuri?
Kifo kizuri ni kile ambacho hakikupi nafasi ya kuanza kujuta "laiti ningejua" , kwa maana nyingine hiki ni kile kifo kinachokuja baada ya wewe kuwa umetimiza malengo yako yani unakuwa umeshafanya uliyopaswa kufanya (huu ni mtazamo wangu) , kinakuwa ni final stop of your successful journey na sio msiba wa kusikitisha.
Kuna mtu aliwahi kujinunulia jeneza lake mapema na akaonekana kama ana matatizo ya afya ya akili au kama anajichulia

Lakini ukitafakari, hata usipolinunua mapema bado ukweli ni kwamba siku moja utakufa tu

Kwa nini jamii hulichukulia jambo hilo tofauti?
Ukifuatilia watu wengi ambao huwa wanaogopa kifo au kukiongelea kifo naweza kusema kwa namna moja ama nyingine ni kwa sababu wanaishi maisha ya impulse yani wanaishi bila mpango, bila maadili, na bila kusudi.

Hapo ndipo hofu na mitazamo tofauti huwa inazaliwa kuhusu kifo, kwa sababu mtu anajua anakufa huku akiwa hajafanya chochote cha maana.
If you live a life of discipline and purpose, hauwezi kukichukulia kifo kama jambo tofauti, you simply prepare for the transition tu.

Wanaolalamikia watu/ kulalamika kuhusu kuongelea kifo ni wale ambao bado hawajaelewa value of time, usipokuwa tayari kuongelea kifo then you are not actually ready to live.
 
Binadamu tuna ndoto, malengo na matamanio mengi kuhusu maisha Tunapanga kuwa na nyumba nzuri, gari, ardhi, biashara na mafanikio mengine mengi


Lakini umewahi kujiuliza kuhusu mwisho wa safari yako?

Umewahi kutamani kifo chako kiwe cha aina fulani?


Mara nyingi husikia watu wakisema,

Yule amekufa kifo kibaya
inasikitisha sana🥲

Hapo unajiuliza, kama kuna kifo kibaya, je, kuna kifo kizuri?


Labda kile kisichoambatana na maumivu makali, mateso ya muda mrefu au taabu nyingi

Je, hicho ndicho kifo kizuri?


Pia, kwa nini kuzungumzia kifo huonekana kama uchuro?


Kuna mtu aliwahi kujinunulia jeneza lake mapema na akaonekana kama ana matatizo ya afya ya akili au kama anajichulia

Lakini ukitafakari, hata usipolinunua mapema bado ukweli ni kwamba siku moja utakufa tu

Kwa nini jamii hulichukulia jambo hilo tofauti?


Cha kushangaza ni kwamba watu wengi husema

Nataka nioe /kuolewa nipate watoto na nyumba kalii gari kaliii
Biashara zaidi yaani uwekezaji wa kila namna (na hii sio mbaya ni sawa kabisa kua na future)

Lakini ni nadra sana kusikia mtu akisema anatamani kifo chake kiwe cha namna fulani

Maana ukweli ni kwamba baada ya yote hayo mwisho ni kifo!

Lakini sasa ikitokea mtu akasema anatamani kifo chake kiwe cha namna fulani watu humuona kama hayuko timamu

Na akisema hivyo, wengi huanza kuona kama hayuko sawa kiakili

Sijui kwa nini huwa hivyo🤔


Binafsi, sitamani kufa sasa😅

Natamani niishi miaka mingi zaidi kwa sababu sijui chochote kuhusu maisha baada ya kifo

Sehemu ninayoijua ni hii dunia, na ningependa niendelee kuwepo kwa muda mrefu zaidi

Lakini pia najua ipo siku moja nitaondokana wewe pia utaondoka📌

Ila sasa kwa upande wangu siku hiyo ikifika

Natamani au ningependa 👇

Nife kwa amani🤗

Nisiwe na chuki wala kinyongo na mtu yeyote

Sitamani kuugua magonjwa ya muda mrefu yanayomchosha mgonjwa mwenyewe na kuwachosha wanaomlea& wanaomuuguza


Pia sitamani kifo cha ajali au kifo chenye maumivu makali sana

Kama ni kuugua, basi iwe kwa muda mfupi

Hii huwapa nafuu hata wanaobaki, kwani hawabebeshwi mzigo mkubwa wa muda, nguvu na gharama za kukuuguza


Kama ningekuwa na choice, ningependa siku yangu ifike nikiwa nimelala kwa utulivu, kisha niondoke kimya kimya bila kelele, bila taharuki na bila mateso makubwa


Je, wewe umewahi kuwaza kuhusu kifo chako? Kama ungepewa nafasi ya kuchagua, ungependa kifo chako kiwe cha namna gani?


Team
Messi 🔥🔥🔥🔥

ShesRise_1 🤚
Ndugu mdau,
binafsi kwa Neema na Baraka za Mungu, natamani kuishi maisha marefu na yenye kheri duniani,

sifikirii habari ya kufa kabisa, kama ambavyo sikufikiria kuzaliwa.

In fact,
kwa kwangu mimi, kuishi ni Kristo na kufa ni faida.

na kwa mapenzi ya Mungu ikiwa ataniita, ni imani na matumaini yangu kuwepo kwenye kitabu cha uzima kufurahi pamoja nae kwenye kiti cha enzi cha ufalme.🐒
 
Back
Top Bottom