ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 22,235
- 51,111
- Thread starter
- #101
Shukran kakaKifo ni kujiandaa, ukitaka ufe kifo cha amani bila kelele basi jitahidi kuishi maisha mema
Karibu
Shukran kakaKifo ni kujiandaa, ukitaka ufe kifo cha amani bila kelele basi jitahidi kuishi maisha mema
Yes, I am immortal. I don't even think about death or dying. 😁Heh ama kweli 😁
Kifo chema ni kufa taratibu(dying slowly). Hapa unamuomba Mungu akuepushe na vifo vya ghafla kama ajali na presha pia haufi kwa kuletewa na gonjwa litakalokutesa na kugharqmia matibabuHicho kifo chema ni kama kipi?
Jukwaa huru mkuu,Shukran sana mkuu🙏
Mimi bando ngazi chache nitaingia huko kwenye 30
Kwa namna ulivyoandika ni dhahiri kwamba furaha inajitegemea yenyewe haihusiani na utajiri
Japo naweza kusema furaha ya mtu hukamilishwa au kufika kilele kwaa kupata maitaji yake ya msingi kama ulivyosema hapo
so nimekueelewa sana
Huyo Mungu unaemuamini ni matumaini makubwa atakujibu kama uombavyo
Hapa natamani kukujibu au kukuliza jambo ila nahofia Kukufanya uone nakuchunguza sana
Wanasema bahati haiji bila juhudu ila ukweli kuna watu wanajuhudi na hawabahatiki
BAHATI🤔
Shukran sana Bro umejibu vizuri sana napenda aina ya watu wenye kuelewa mada na kuchangia kama wewe
Karibu tena 😊
Yes kakaKuna kitu kinaitwa the art of dying ambacho wengi huwa wanakikwepa kwa sababu ya hofu ya kisaikolojia waliyo nayo.
Kuogopa kuwaza mwisho wa maisha huku unawaza mwanzo na ulipofika kwa muda huo hiyo nayo ni ajabu sanaUnajua watu wanapenda sana kupanga sherehe za siku ya kuzaliwa, harusi n.k lakini walio wengi huwa wanaogopa sana kuwaza mwisho wa safari zao, kama tunakubali kuwa maisha ni mchakato unaoanza na badae kuisha basi inabidi tukubali pia kuwa kifo ni final milestone, tusikione kifo kama uchuro.
👏👏👏 kama kawaida yako bro point tupuBinafsi sitaki kifo changu kiwe ni kifo cha kuhurumiwa, sitaki siku zangu za mwisho ziwe za watu kuniletea chai kitandani huku wakati huo wakisubiri nimeluke ili watafute nafasi ya kugawana mali zangu, hii ni dignity erosion.
Alexander the Great hakutaka kufa akiwa mgonjwa kitandani, unajua kwanini?
Kwasababu
Kufa ukiwa bado unakimbizana na malengo kunawafanya watu wakukumbuke kwa kile ulichokuwa unafanya.
Usipokua tayari kuongelea kifo then you are not actually ready to live 📌❤️Kifo kizuri ni kile ambacho hakikupi nafasi ya kuanza kujuta "laiti ningejua" , kwa maana nyingine hiki ni kile kifo kinachokuja baada ya wewe kuwa umetimiza malengo yako yani unakuwa umeshafanya uliyopaswa kufanya (huu ni mtazamo wangu) , kinakuwa ni final stop of your successful journey na sio msiba wa kusikitisha.
Ukifuatilia watu wengi ambao huwa wanaogopa kifo au kukiongelea kifo naweza kusema kwa namna moja ama nyingine ni kwa sababu wanaishi maisha ya impulse yani wanaishi bila mpango, bila maadili, na bila kusudi.
Hapo ndipo hofu na mitazamo tofauti huwa inazaliwa kuhusu kifo, kwa sababu mtu anajua anakufa huku akiwa hajafanya chochote cha maana.
If you live a life of discipline and purpose, hauwezi kukichukulia kifo kama jambo tofauti, you simply prepare for the transition tu.
Wanaolalamikia watu/ kulalamika kuhusu kuongelea kifo ni wale ambao bado hawajaelewa value of time, usipokuwa tayari kuongelea kifo then you are not actually ready to live.
Huyo mdau labda anataka kufia nyumbani kwa bwana ake. Maana wana mabwana zao skuhizi.Hata hapo saivi ukute umelewa
Kuna mdau hapo juu amesema kufia bar ukiwa umelewa ndio kifo kibaya
Amen Amen BrotherNdugu mdau,
binafsi kwa Neema na Baraka za Mungu, natamani kuishi maisha marefu na yenye kheri duniani,
Acha basi 😁 Enjoy brosifikirii habari ya kufa kabisa, kama ambavyo sikufikiria kuzaliwa.
Amen naona umekuja kama mwana kondoo wa bwana hongera ApostleIn fact,
kwa kwangu mimi, kuishi ni Kristo na kufa ni faida.
na kwa mapenzi ya Mungu ikiwa ataniita, ni imani na matumaini yangu kuwepo kwenye kitabu cha uzima kufurahi pamoja nae kwenye kiti cha enzi cha ufalme.🐒
Wakati huku kwetu ikionekana ni uchuro, katika baadhi ya nchi kama Ghana au baadhi ya jamii za Asia, watu hujiandaa kwa kifo kwa kutengeneza majeneza ya kifahari mapema (fantasy coffins) na kuweka fedha za msiba ili wasiachie familia mzigo wa madeni.Binadamu tuna ndoto, malengo na matamanio mengi kuhusu maisha Tunapanga kuwa na nyumba nzuri, gari, ardhi, biashara na mafanikio mengine mengi
Lakini umewahi kujiuliza kuhusu mwisho wa safari yako?
Umewahi kutamani kifo chako kiwe cha aina fulani?
Mara nyingi husikia watu wakisema,
Yule amekufa kifo kibaya
inasikitisha sana🥲
Hapo unajiuliza, kama kuna kifo kibaya, je, kuna kifo kizuri?
Labda kile kisichoambatana na maumivu makali, mateso ya muda mrefu au taabu nyingi
Je, hicho ndicho kifo kizuri?
Pia, kwa nini kuzungumzia kifo huonekana kama uchuro?
Kuna mtu aliwahi kujinunulia jeneza lake mapema na akaonekana kama ana matatizo ya afya ya akili au kama anajichulia
Lakini ukitafakari, hata usipolinunua mapema bado ukweli ni kwamba siku moja utakufa tu
Kwa nini jamii hulichukulia jambo hilo tofauti?
Cha kushangaza ni kwamba watu wengi husema
Nataka nioe /kuolewa nipate watoto na nyumba kalii gari kaliii
Biashara zaidi yaani uwekezaji wa kila namna (na hii sio mbaya ni sawa kabisa kua na future)
Lakini ni nadra sana kusikia mtu akisema anatamani kifo chake kiwe cha namna fulani
Maana ukweli ni kwamba baada ya yote hayo mwisho ni kifo!
Lakini sasa ikitokea mtu akasema anatamani kifo chake kiwe cha namna fulani watu humuona kama hayuko timamu
Na akisema hivyo, wengi huanza kuona kama hayuko sawa kiakili
Sijui kwa nini huwa hivyo🤔
Binafsi, sitamani kufa sasa😅
Natamani niishi miaka mingi zaidi kwa sababu sijui chochote kuhusu maisha baada ya kifo
Sehemu ninayoijua ni hii dunia, na ningependa niendelee kuwepo kwa muda mrefu zaidi
Lakini pia najua ipo siku moja nitaondokana wewe pia utaondoka📌
Ila sasa kwa upande wangu siku hiyo ikifika
Natamani au ningependa 👇
Nife kwa amani🤗
Nisiwe na chuki wala kinyongo na mtu yeyote
Sitamani kuugua magonjwa ya muda mrefu yanayomchosha mgonjwa mwenyewe na kuwachosha wanaomlea& wanaomuuguza
Pia sitamani kifo cha ajali au kifo chenye maumivu makali sana
Kama ni kuugua, basi iwe kwa muda mfupi
Hii huwapa nafuu hata wanaobaki, kwani hawabebeshwi mzigo mkubwa wa muda, nguvu na gharama za kukuuguza
Kama ningekuwa na choice, ningependa siku yangu ifike nikiwa nimelala kwa utulivu, kisha niondoke kimya kimya bila kelele, bila taharuki na bila mateso makubwa
Je, wewe umewahi kuwaza kuhusu kifo chako? Kama ungepewa nafasi ya kuchagua, ungependa kifo chako kiwe cha namna gani?
Team Messi 🔥🔥🔥🔥
ShesRise_1 🤚
SawaYes, I am immortal. I don't even think about death or dying. 😁
Ahsante sana Madam.Yes kaka
Kuogopa kuwaza mwisho wa maisha huku unawaza mwanzo na ulipofika kwa muda huo hiyo nayo ni ajabu sana
👏👏👏 kama kawaida yako bro point tupu
Usipokua tayari kuongelea kifo then you are not actually ready to live 📌❤️
Karibu tena The Thinker 😊
ExactlyKifo chema ni kufa taratibu(dying slowly). Hapa unamuomba Mungu akuepushe na vifo vya ghafla kama ajali na presha pia haufi kwa kuletewa na gonjwa litakalokutesa na kugharqmia matibabu
Sawa karibu tenaHuyo mdau labda anataka kufia nyumbani kwa bwana ake. Maana wana mabwana zao skuhizi.
Sisi wengine tulewe mpaka makaburini
Wapo sahihi kujiaanda kwa namna hiyo ni vizuri sanaWakati huku kwetu ikionekana ni uchuro, katika baadhi ya nchi kama Ghana au baadhi ya jamii za Asia, watu hujiandaa kwa kifo kwa kutengeneza majeneza ya kifahari mapema (fantasy coffins) na kuweka fedha za msiba ili wasiachie familia mzigo wa madeni.
Ukweli ni kwamba, kujiandaa na kifo (kama kuandika urithi au kupanga taratibu za mazishi) ni ishara ya ukomavu wa hali ya juu wa kifikra, ingawa unahitaji ujasiri mkubwa kupingana na mtazamo wa kawaida wa jamii.
Hiii hua mbaya sanakuumwa sana, ama kupata accident na kukaa kitandani kwa muda naogopa duuh,,
Vizuri sanaNikiwa mzima miaka 70 inanitosha kabisa ikiongezeka ni khery.... Ila 70 inatosha
Kushindiliwa kifusi unaogopaNingetamani nichomwe moto kuzikwa kwenye jeneza sitamani kabisa,, kushindiliwa kifusi naogopa duuuh
Usijitutie furahia maishaKwann nilizaliwa 😓
Kimsingi, kupanga mambo yako mapema ni kuwajali na kuwapenda wale unaowaacha, hata kama jamii wakati mwingine haielewi uamuzi huo kwa haraka maana wengine huwa wanachelewa kuelewaWapo sahihi kujiaanda kwa namna hiyo ni vizuri sana
sijui kama itawezekana kubadili huu mtazamo wakoMtu anaewaza kifo chake anakua kavuka level fulani ya ujasiri, sio kitu kibaya ila binafsi naona huyu mtu ana ujasiri fulani ambao si ajabu hiyo energy anaweza ihamisha na kuleta madhara kwa wengine
Hawa wanaofanya hivi ni wabinafsi wa kutupwa na pengine wana matatizo ya Afya ya akili na msongo wa mawazo.
Wapo wale wanaopenda kwenda na wengi, yaani yeye siku yake ikifika au akihisi imefika basi asiwe peke yake.
Kuna wa kujitoa muhanga, kuna wale hataki kuacha wapendwa wao kwenye dhiki yeye akiona hatoboi basi anatanguliza na wenae,ndgu au marafiki na mwisho wa siku si ajabu yeye akaogopa kufa na asijiue.
Hii story yako ina funzo lipiUliwahi kupata ile story ya wanandoa waamerika?? Walipofika uzee mume aliumwa sana na ikaonekana hatoboi, akamwita mkewe ambae nae tayari ni ajuza akamwambia afate bunduki yake nyumbani, aje ampige shaba awahi ili aepukane na maumivu.
Mke akaona ni kheri waende wote, yaani amchape shaba mume na yeye ajiue na wakakubaliana hivyo.
Siku imefika, mke kweli kaja na mguu wa kuku, huku na huku baada ya maagano kamchapa ya kichwa mume.
Yeye akashindwa kujiua mpaka polisi wanakuja kumkamata.
Acha ibaki kua siri yako mkuu.
EXACTLY 💯Kimsingi, kupanga mambo yako mapema ni kuwajali na kuwapenda wale unaowaacha, hata kama jamii wakati mwingine haielewi uamuzi huo kwa haraka maana wengine huwa wanachelewa kuelewa