secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 23,984
- 51,055
Sasa mungu anijalie hicho kifo. Nikitoka hapo naenda kuwashughulikia mabikra 72 walioko peponi.Siyo vibaya 🤣
Dah! Ni mwendo wa bandika bandua.
Sasa mungu anijalie hicho kifo. Nikitoka hapo naenda kuwashughulikia mabikra 72 walioko peponi.Siyo vibaya 🤣
Kwani we ni Muslim auSasa mungu anijalie hicho kifo. Nikitoka hapo naenda kuwashughulikia mabikra 72 walioko peponi.
Dah! Ni mwendo wa bandika bandua.
Niko kote kote.Kwani we ni Muslim au
Acha kua vuguvugu elewekaNiko kote kote.
Mama muislamu (shia) baba mkristo (katokiki), Mimi kuanzia kiunoni kwenda chini muislamu, kiunoni kwenda juu mkristu.Acha kua vuguvugu eleweka
Ni wapi unakaa Mdinya
Sema wanawake mnaishi miaka mingi...Cha haraka, ikiwezekana nisiwe na fahamu na nisijue kwamba kinatokea!
 Kumbafuuuuuuuuuuu🤣🤣🤣Mama muislamu (shia) baba mkristo (katokiki), Mimi kuanzia kiunoni kwenda chini muislamu, kiunoni kwenda juu mkristu.
Sijui niambie whyUnajua kwa nini kuanzia kiunoni kwenda chini Mimi ni mkristu?
Hata hapo saivi ukute umelewaNife nikiwa nimelewa tu, sitaki mambo mengi
Hicho kifo chema ni kama kipi?Sisi wakatoliki huwa tunaomba rehema kamili(Tantum ergo) yaani kuomba kifo chema
Hata wanaume wanaishi miaka mingi piaSema wanawake mnaishi miaka mingi...
Hapo ukute labda una pressure, unapambana nayo kama miaka 20 hivi ndo ikumalize.
Inakuwaga mbaya hiyo.
Kila la kheriSijali nitakufaje, natamani nife nikiwa nimefanikisha utimilifu(fulfilment). Maana yake ni kuwa umeridhika na maisha yako pamoja na wewe binafsi ulivyo kwa 100%.
AiseeeTofauti na hapo nitaaga dunia kwa kusikitika sana.
Kwenye hii mada tunaishi miaka mingi ila kwenye mada za ndoa sasa...🌚Hata wanaume wanaishi miaka mingi pia
Kwakweli umeongea vizuri sana babu yangu huaga upo smart sana kusoma na kuelewa mada husikaShesRise_1 bwana!
-Natamani nife nikiwa nimeshatimiza kusudi langu duniani.
-Nife nikiwa sina kinyongo na mtu.
-Nife nikiwa sina madeni na watu au taasisi yoyote.
-Nice nikiwa 80+
-Nisiugue magonjwa ya kitesa na kuumiza kama sukari, moyo figo au saratani ambayo vifo vyake huwa vinatesa sana.
-Nisiwafilisi ndugu zangu na watoto kabla ya kufa.
Hivi hua ni kwanini😀Kwenye hii mada tunaishi miaka mingi ila kwenye mada za ndoa sasa...🌚
Kwakuwa kifo kina raha kwa mujibu wa sayansi, nitapendelea kifo kisicho cha ajali kwakuwa natamani kuipata raha hiyo.Kila la kheri
Ila swali nililouliza baada ya kukamilisha kila kitu kama ulivyosema na time ikawa imefika unatamani uondoke vipi
Aiseee
Nyie si mnapenda kujipakulia minyama...Hivi hua ni kwanini😀