ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 22,235
- 51,111
- Thread starter
-
- #221
Sawa mkuu na iwe hivyokifo changu natamani kisiwe kifo cha mateso sana, lakin pia nataman nipate hata dakika 3 za kujikabidhi mbele za YESU, nitubu dhambi zote nilizozifanya enz za uhai wangu.
sisi binadam tunaufaham mkuuMbinu za kuzunguka zunguka tu, kifo cha mnyama na binadamu ni sawa , ni vile binadamu tunajipa umuhimu tusio kuwa nao
nzi kufia kwenye mafutaBinafsi natamani nife nikiwa na nyetuka, basi ikishindikana nife nikiwa naikamia papuchi ya wife.
Naam!nzi kufia kwenye mafuta
Yes, legacy yao ni wema.Una uhakika walikuwa wema??
Jehanamu inakuhusu ukifa hivyo. Tutubu wote ni wakosefu.Mie atamani sana nifie juu ya matiti ya mrembo yaani kibamia kipo kwa .mbususus na kichwa changu kwa matiti
Hivi wewe uli logezewa mbususu au 🤣🤣🙌Mie atamani sana nifie juu ya matiti ya mrembo yaani kibamia kipo kwa .mbususus na kichwa changu kwa matiti
Hamna kitu kama hicho wewe ukifa umekufa story imeisha wanazaliwa wengineJehanamu inakuhusu ukifa hivyo. Tutubu wote ni wakosefu.
The best moments in life are enjoyed while naked. Sema mnajidai hampendi kumbe mweee msikute nyie ni kunizidi mieHivi wewe uli logezewa mbususu au 🤣🤣🙌
Hivi kumbe hujawahi kuona nyuzi zangu🤣 mie moja ya vitu I like ni kutiana 😅😅🙌🙌🙌The best moments in life are enjoyed while naked. Sema mnajidai hampendi kumbe mweee msikute nyie ni kunizidi mie
Perfect!Hivi kumbe hujawahi kuona nyuzi zangu🤣 mie moja ya vitu I like ni kutiana 😅😅🙌🙌🙌
Heh we baba sijakata tamaa ya maisha sina maradhi aina yoyote hata kicwa hakiumi kabisaAidha ni umekata tamaa ya maisha, umekuwa na depression kwa muda mrefu na umechagua kushindwa,au unasumbuliwa na maradhi yasio na tiba.
Mtu ambaye hana afya ya akili nzuri ni yule anaejindanganya mwenyewe kuhusu maisha yake ya sasa na ya baadaeSio kawaida kwa mtu mwenye afya nzuri ya akili kuwaza mauti na kuprocess namna atakufa.
Shukran Mkuu na Alhamdulillah nipo vizuri sitamani kufa sasa hivi wala keshoNenda katafute msaada haraka sana usisubiri upatwe na madhara makubwa zaidi ya sasa. MUNGU akutangulizie malaika wa ulinzi wakuongoze njia na kukulinda na nguvu za kuzimu zisikuvunje nguvu na kukurudisha nyuma zaidi.
🔥 🔥Perfect!
Ni huu huu dearBabes ulikuwa unamaanisha huu uzi? Ndio nauona au upo na mwingine.
Sawa Elevenn 😂Sidhani kama ni sahihi kuwaza kifo ilihali u mzima wa afya. Maisha na kifo ni bahati. Na vyote havina namna ya kuvipanga wala kuviwazia utakua unajosumbua tu.
Hapana kamamaa, nilikua nauliza kama umepost zingine ili nipitie zote.Ni huu huu dear
Sorry umekua disappointed au🫣