binti kiziwi
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 16,966
- 47,296
Hapana kamamaa, nilikua nauliza kama umepost zingine ili nipitie zote.
Kwanini baadhi ya watu mnashangaa?Uwiiii ulikuwa unafikiria nini? π π unafikiria sana na wewe.
Sawa dearNgoja nisome comments kwanza.
Relax babe ukiwaz haina maana unakufa hapo hapoππKwa nisivotaka kufa naogopa hata kuwaza π π»ββοΈπ€¦π»ββοΈπ«£
Hivi utofauti wa kifo cha aina hii na kile cha mende ni upi !Kama ningekuwa na choice, ningependa siku yangu ifike nikiwa nimelala kwa utulivu, kisha niondoke kimya kimya bila kelele, bila taharuki na bila mateso makubwa
SifahamuRisasi ya kichwa
Hivi utofauti wa kifo cha aina hii na kile cha mende ni upi !
β Death is very sure, tufurahie maisha tungali hai. Binafsi swali ambalo ningependa kujua jibu lake ni 'nitakufa lini' sio nitakufaje. All in all tutakufa tu.Sifahamu
Mbona wacheka? πSawa Elevenn π
Kwani wanyama hawana ufahamu?sisi binadam tunaufaham mkuu
Unaogopa hayo maini kupigwa futi sota chini?π π πUwiiii ulikuwa unafikiria nini? π π unafikiria sana na wewe.
Ngoja nisome comments kwanza.
Kwa nisivotaka kufa naogopa hata kuwaza π π»ββοΈπ€¦π»ββοΈπ«£
Ooh okayβ Death is very sure, tufurahie maisha tungali hai. Binafsi swali ambalo ningependa kujua jibu lake ni 'nitakufa lini' sio nitakufaje. All in all tutakufa tu.
Basi tu nimejikuta nachekaMbona wacheka? π
πππUnaogopa hayo maini kupigwa futi sota chini?π π π
πDeath is inevitable,
Si ndio babu yanguukiuandaa uzee wako vizuri unaandaa kifo cha amani, labda shetani ajiinue zaidi ndio utakufa kifo kibaya.
Kifo kinaogofya sana mjukuu, umewahi kuona mtu akizima? Halafu anawekwa vizuri, anafungwa kama pipi(lawalawaπ ), halafu anapelekwa kwenye jokofu, anaingizwa unaona kwa macho..umewahi?πππ
π
Si ndio babu yangu
Sijawahi babu yangu uwiiiiiiiKifo kinaogofya sana mjukuu, umewahi kuona mtu akizima? Halafu anawekwa vizuri, anafungwa kama pipi(lawalawaπ ), halafu anapelekwa kwenye jokofu, anaingizwa unaona kwa macho..umewahi?
Aisee hatari sanaNi experience ya kusisimua sana kwa maisha ya mwanadamu.
Bila sababu? Tatizo nalo hilo mkaliangalieBasi tu nimejikuta nacheka
Yaani nashindwa kwelewa ππππKwanini baadhi ya watu mnashangaa?
π π
Sawa dear
Relax babe ukiwaz haina maana unakufa hapo hapoππ
π π»ββοΈπ π»ββοΈππUnaogopa hayo maini kupigwa futi sota chini?π π π
Death is inevitable, ukiuandaa uzee wako vizuri unaandaa kifo cha amani, labda shetani ajiinue zaidi ndio utakufa kifo kibaya.
wanyama wanaufaham pia sema copacity yao ya ubongo ipo chini mkuuKwani wanyama hawana ufahamu?
Mchina voiceπYaani nashindwa kwelewa ππππ