Je, umewahi kutamani kifo chako kiwe cha namna gani?

Spain 🇪🇸
Alimtoa nani 🇫🇷 sio?
Inamana hata hiyo ile Argentina yako uliyosema hata final haikufika

Utabiri wako ulienda kombo
Anyway nilikua napitia uzi nikakuta comment yako nikaona nikukubushe like jokes 😃
 
Alimtoa nani 🇫🇷 sio?
Inamana hata hiyo ile Argentina yako uliyosema hata final haikufika

Utabiri wako ulienda kombo
Anyway nilikua napitia uzi nikakuta comment yako nikaona nikukubushe like jokes 😃

Argentina walifika final, wakapigwa na Spain
 
Sijasoma uzi

Ingawa binafsi nitakufa kwa sumu,risasi au furaha ndio itakuwa mwisho wa uhai wangu.
 
Wakati mwingine sio kifo tunachowaza,nini kinafata baada ya kifo? hilo ndo linafanya usitamani hata kufa kwenyewe...Hakuna mtu yeyote ana uhakika na hayo kwa kuona,ingawa tuna imani zinazoamini mazingira tofauti.

Pengine hata kifo cha kulala tu usiamke kinaweza kuonekana kama ndo kifo cha amani ila sidhani kama mtu anayekufa hajui kama anakufa...ubaya mwingine wa kifo ni kujua hapa nakufa.
 
Kama kabla hujazaliwa hukua unajua chochote kuna uwezekano pia ukifa hakutakua na chochote kitakachoendelea

Umesema hakuna mtu asiejua kama anakufa ?

Sidhani kama kila mtu anajua
Hivi mtu amekaa hana hili wala lile anaangukiwa na ukuta anasagika papo hapo utasema alikua anajua anakufa?
 
Ee BWANA pokea roho yangu kwa jina Yesu aliyesulubiwa, ninalala ili nipumzike, Unibariki Ee BWANA na unikinge, uniepushe na kifo cha ghafla na kisichotarajiwa na hatari zake zote🙏

Leo Messi🐐
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…