Huo utamaduni ni Kweli kabisaaa 100%.[emoji3581] Kuna baadhi ya Maelezo Hapo kwa mkuu NYAMAUME ntayawaweka vzr. Kwanza Hatutumii SINDANO ya ng'ombe tunaumia kitu kinachoitwa MWINO [emoji3039] au kikopo flani hivi (BOMBA) kinaunganishwa na pipe nyembamba.
JINSI YA KUTUMIA: ukishandaa Dawa yako vizuri inakua ya vuguvugu unajiinika/kujiingiza ile Dawa kama lita 1 hivi au nusu lita. (Usihofu kabisa wala kuogopa kuona kama unajit...mba hapana) kwani ki pipe kinachozama mavini ni chembamba saana. Kisha baada ya hapo utaharisha saana utatoa takataka zote hata za miezi 6 zilizokua sugu Tumboni mafuta mafuta yaliyokua yamekaa tu yote tupa huko.
FAIDA YAKE:
(1) Ina safisha mwili kuondoa sumu mwilini.
(2) kuupa mwili Nguvu (hapa ndo wanasema eti "Nguvu za kiume", no ni Nguvu za kawaida tu Yaani mwili unakua ngangari kinoma / very strong ....katika point Hii hapa ndo utaona tofauti Kati ya mwanaume wa Dar na wa Kigoma [emoji1787][emoji1787][emoji1787])
(3) intibu maleria
(4)inatibu mshipa ( ngiri aina zote)
(5)inatibu typhoid
(6) kuondoa kitambi / manyama zembe
Na magomjwa mengine kibaaao.
Utaratibu huu hutumika mara moja kea miezi 6 au kea mwaka mmoja. Kule kwetu wa manyema tunaita KUFANYA SERVICE YA MWILI.
Karibuni sana Kigoma
View attachment 2544299