Mwalimu wa tuisheni
JF-Expert Member
- Oct 19, 2019
- 6,602
- 10,801
We unaona ni sawa kabisa...?🤔Kwao ni utamaduni na asiepigwa bomba wanamuona km ni mchafu,, ni aina flani ya kuflash mwili,, na kitendo cha kuimimina dawa tu kunduni ni papo hapo kinyesi kinamwagika kwahiyo kule kundu lilipoelekezwa hakai mtu vinginevyo utakula kinyesi
Kigoma wanaelekea kubaya, mabomba ya sindano yakiisha je 🤣🤣😡😡😡 dunia inabalaaHao nilishuhudia walikuwa watoto sasa sipati picha jivi la mtu mzima inakuwaje,, waliniambia kuwa wakwenda km mie walikuwa wanapigwa bomba wanakunya,, fresh maisha yanaenda hawaoni km ni ajabu kabisa
Kumbe sio zoezi la mara moja tuu 😎😎, tuendelee tutasikia mengiKuna mzee hapa wa kiha nimemuuliza kasema ni kweli hata yeye kapigwa sana mabomba
Yaani bomba lote hilo 😁😁😁,mkuu Nani anakuwekea hilo bomba?Huo utamaduni ni Kweli kabisaaa 100%.[emoji3581] Kuna baadhi ya Maelezo Hapo kwa mkuu NYAMAUME ntayawaweka vzr. Kwanza Hatutumii SINDANO ya ng'ombe tunaumia kitu kinachoitwa MWINO [emoji3039] au kikopo flani hivi (BOMBA) kinaunganishwa na pipe nyembamba.
JINSI YA KUTUMIA: ukishandaa Dawa yako vizuri inakua ya vuguvugu unajiinika/kujiingiza ile Dawa kama lita 1 hivi au nusu lita. (Usihofu kabisa wala kuogopa kuona kama unajit...mba hapana) kwani ki pipe kinachozama mavini ni chembamba saana. Kisha baada ya hapo utaharisha saana utatoa takataka zote hata za miezi 6 zilizokua sugu Tumboni mafuta mafuta yaliyokua yamekaa tu yote tupa huko.
FAIDA YAKE:
(1) Ina safisha mwili kuondoa sumu mwilini.
(2) kuupa mwili Nguvu (hapa ndo wanasema eti "Nguvu za kiume", no ni Nguvu za kawaida tu Yaani mwili unakua ngangari kinoma / very strong ....katika point Hii hapa ndo utaona tofauti Kati ya mwanaume wa Dar na wa Kigoma [emoji1787][emoji1787][emoji1787])
(3) intibu maleria
(4)inatibu mshipa ( ngiri aina zote)
(5)inatibu typhoid
(6) kuondoa kitambi / manyama zembe
Na magomjwa mengine kibaaao.
Utaratibu huu hutumika mara moja kea miezi 6 au kea mwaka mmoja. Kule kwetu wa manyema tunaita KUFANYA SERVICE YA MWILI.
Karibuni sana KigomaView attachment 2544299
Why?Comment deleted!
Wanalizamiza lote kwenye mkunyenye?Kama hii ndio sindano ya ng'ombe basi mpaka hapa asilimia 100 marinda wameyapoteza
View attachment 2466919
Bomba ni mcjanganyiko wa mitishamba na maji vuguvugu.iliupigwe unabidi ubongoe na waha wengi hufanyiwa na wanandoa au wapenzi wao wa karibu.Hilo Bomba anapigwa akiw amekaa MKAO gani.. Hicho tu ndio cha kujiuliza.
Haha hahaha hakikaHuu ubunifu tungeutumia kuwaza vitu vya kiteknolojia tungekuwa mbali
Hiyo ipo ht ktk makabila mengine. Kweli unaharisha mauchafu yote ila mziki wake ni mzito. Dawa inaingiziwa kupitia haja kubwa, njia inafungwa kwa km saa nzima. Wakati huo mziki ni mnene mpk jasho linatoka kwenye makucha.Kigoma kuna utamaduni unafanywa na wanaume unaitwa kujipiga bomba. Wanafanya hivyo ili kupunguza mafuta kiunoni na kuongeza nguvu za kiume.
Wanachemsha mchanganyiko wa madawa kisha mchesho ukipoa na kufikia kipimo cha uvuguvugu hutafuta bomba kubwa la sindano ya ng'ombe, kisha hufyonza mchanganyiko huo na kujiingizia kwenye njia ya haja kubwa.
Baada ya muda fulani, hupatwa na tumbo la kuhara ambapo uharisha mafuta kwa siku nzima hadi ikate yenyewe.
Baada ya hapo wanaamini ufanisi kitandani huongezeka sana.
Ni dawa gani izo za uvuguvugu?Huo utamaduni ni Kweli kabisaaa 100%.[emoji3581] Kuna baadhi ya Maelezo Hapo kwa mkuu NYAMAUME ntayawaweka vzr. Kwanza Hatutumii SINDANO ya ng'ombe tunaumia kitu kinachoitwa MWINO [emoji3039] au kikopo flani hivi (BOMBA) kinaunganishwa na pipe nyembamba.
JINSI YA KUTUMIA: ukishandaa Dawa yako vizuri inakua ya vuguvugu unajiinika/kujiingiza ile Dawa kama lita 1 hivi au nusu lita. (Usihofu kabisa wala kuogopa kuona kama unajit...mba hapana) kwani ki pipe kinachozama mavini ni chembamba saana. Kisha baada ya hapo utaharisha saana utatoa takataka zote hata za miezi 6 zilizokua sugu Tumboni mafuta mafuta yaliyokua yamekaa tu yote tupa huko.
FAIDA YAKE:
(1) Ina safisha mwili kuondoa sumu mwilini.
(2) kuupa mwili Nguvu (hapa ndo wanasema eti "Nguvu za kiume", no ni Nguvu za kawaida tu Yaani mwili unakua ngangari kinoma / very strong ....katika point Hii hapa ndo utaona tofauti Kati ya mwanaume wa Dar na wa Kigoma [emoji1787][emoji1787][emoji1787])
(3) intibu maleria
(4)inatibu mshipa ( ngiri aina zote)
(5)inatibu typhoid
(6) kuondoa kitambi / manyama zembe
Na magomjwa mengine kibaaao.
Utaratibu huu hutumika mara moja kea miezi 6 au kea mwaka mmoja. Kule kwetu wa manyema tunaita KUFANYA SERVICE YA MWILI.
Karibuni sana KigomaView attachment 2544299
KupumuliwaNi dawa gani izo za uvuguvugu?