Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 46,398
- 102,530
- Thread starter
-
- #61
Kidogo kidogo ata Anza kutafuta sababu za kuto kulala usikuπππππAseeee tutampoteza huyo soon
Kijana kashindikana huyo, Mimi siku hizi saa 4, 5, niki chelewa ni 6 kamili nilisha lala.Unamtag huyo wakati analala masaa 2 usiku π
Kwenye ubora wangu siku lala mwezi mzimaππSasa nani wakupotea kati yangu na wewe? saa 8 usiku upo WhatsApp saa 11 alfajiri upo JF, unalala masaa mawili 2 π
Mkuu mbona sikuhizi nimepunguza sana, nilikuwa nakawaida nikiianza series basi niimalize mapema nianze nyingine πKidogo kidogo ata Anza kutafuta sababu za kuto kulala usikuππ
Ndiyo nina miaka yangu si zaidi ya mitano kabla sijaacha kufanya kazi for money labda ibaki kama hobby.Hongera kwa hilo, lakini na umri pia ume uzingatia?
Mimi huu u optimistic ndani yangu ndio kamzozo, mfano nili sema wiki 2 hizi napumzika ila una jikuta saa 11 asubui naanza kuwaza hili na lile.
Mimi nilisha weka kikomo, 35 I'm done with everything.Ndiyo nina miaka yangu si zaidi ya mitano kabla sijaacha kufanya kazi for money labda ibaki kama hobby.
Napenda kupumzika, sipendi kujichosha na napenda kula raha; so kwangu hilo si tatizo kabisa. Naweza kwenda sehemu ya rest na nikaswitch kila kitu off hata wiki 2.
Sawa haji manaraKikubwa pumzi ipo
KomaSawa haji manara
Unanishangaa mimi kuna Intelligent Businessman yeye sijui huwa analala saa ngapiπππSasa nani wakupotea kati yangu na wewe? saa 8 usiku upo WhatsApp saa 11 alfajiri upo JF, unalala masaa mawili 2 π
Ataingia team popo sio mudaππKidogo kidogo ata Anza kutafuta sababu za kuto kulala usikuππ
Iv wewe na mimi nani popoπ€£π€£Kijana kashindikana huyo, Mimi siku hizi saa 4, 5, niki chelewa ni 6 kamili nilisha lala.
Hakuna kitu kama hicho π€£π€£
Nimesha staafu u popo, siku hizi saa 4 tu usingizi huo waja wenyewe.Iv wewe na mimi nani popoπ€£π€£
Kaka amini kwambaHakuna kitu kama hicho π€£π€£
Huyo ni Chart Robot wa JF ukituma comment tu unashangaa notification ya reply hapohapo πUnanishangaa mimi kuna Intelligent Businessman yeye sijui huwa analala saa ngapiπππ
Ko mna taka nisiwe najibu ebooπππHuyo ni Chart Robot wa JF ukituma comment tu unashangaa notification ya reply hapohapo π
πππKo mna taka nisiwe najibu ebooπππ
Wewe hulali me nalala sana tuuππNimesha staafu u popo, siku hizi saa 4 tu usingizi huo waja wenyewe.