CHANANJA THE BIG DYNASTY
JF-Expert Member
- Sep 14, 2024
- 1,272
- 1,873
simplicity ni kitu muhimu sana, nime jifunza toka mdogo.Mi hata Bilion 1 usd nakaa nayo na nipo kawaida
Nimejifunza simplicity kwenye maisha nilivyoanza kupata pesa
Ndo nimekuja kujua wale matajiri wanaitwaga wachawi kwa kuwa simple
Ukiweza kuzioea ela hutaridhika
Ila ukizioea unakua umesharidhika
Mi sijazizoea naziona ndogo ndogo and i want more and more each day
Heshima yako pia ewe makamu wa chama Cha ma jobless pro maxHeshima yako muheshimiwa Raisi wa chama Cha majobless pro max
Naam salaam majobless pro max dosho12 min -me Thecoder makutuporaHeshima yako pia ewe makamu wa chama Cha ma jobless pro max
Mfano ki afrika afrika kiasi gani ni safi?Kuna viwango vinatosha kabisa ila ukipata zaidi sio mbaya...
Ko siku nyingine mimi ndio mna niacha liveππNi jana tu π
hiyo inategemea mtu na mtu, uafrika sio kigezo kikubwaMfano ki afrika afrika kiasi gani ni safi?
Ili uwe una jipimia mwenyewe ππNimiliki kiwanda cha pombe basi mambo mengi staki.
Nili penda concept ya kiyosaki kwenye kitabu cha retire young retire rich.hiyo inategemea mtu na mtu, uafrika sio kigezo kikubwa
kuna harakati inaitwa FIRE(financial independence, retire early) wanakusanya hela ili wastaafu mapema iwezekanavyo
fuatilia maudhui yao mitandaoni uone hesabu zao
Bila shaka πKo siku nyingine mimi ndio mna niacha liveππ
Ili uwe una jipimia mwenyewe
Kaka kabla ya saa 6 huto nionaππBila shaka π
Tumuite shahidi Selikavu πKaka kabla ya saa 6 huto nionaππ
Mkuu umelala kweli?Sawa kakaππ
Tuseme inshallah π πMkuu umelala kweli?
π
Basi ngoja mie nikuache sasa utabadirishana shift na Selikavu πTuseme inshallah π π