Je, una utaratibu wa kupongeza rafiki zako? Messi amewazawadia timu ya Argentina iphone 14 za dhahabu kila mmoja kwa kutwaa World Cup 2022

Lady Whistledown

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2021
Posts
1,147
Reaction score
2,008



Messi amenunua simu 35 aina ya iPhone14 za dhahabu na kuwazawadia kikosi cha Timu yake ya Taifa ya Argentina kwa kutwaa Ubingwa wa FIFAWorldCup2022

Inaelezwa kuwa Nyota huyo wa PSG ametumia takriban Tsh. Milioni 409.5 kununua simu hizo, huku 1 ikikadiriwa kugharimu zaidi ya Tsh. Milioni 14

Simu hizo za kipekee kabisa zimeandikwa "Mabingwa wa Kombe la Dunia" upande wa mgongoni. Pia majina na namba za Fulana za wachezaji wa Timu hiyo
 
Mimi hapa nakazia iphone ni simu za kike, kwani hujawahi kuona magari ya kike yaliyopo TZ, sembuse simu?
 
De paul iphone yake ipo pemben ya ya messi as usual😂
 
Your browser is not able to display this video.

 

Attachments

  • 697f8989c3354fa09f40b3bd03a4515c_334079197_1338302980353724_2007523824595005046_n.jpg
    216.5 KB · Views: 6
  • 1276034bfc6544e8bfb2995f2476b5fc_333981386_1131001797567986_5975945675243719766_n.jpg
    266.2 KB · Views: 7
Simu moja ya Dhahabu kwa milioni 14 tu? Kwamba dhahabu ni overated?
 
angekuwa yule jamaa mpiga danadana kule uarabuni angeenda kufanya interview kuwa kaonewa sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…