Lady Whistledown
JF-Expert Member
- Aug 2, 2021
- 1,147
- 2,008
Messi amenunua simu 35 aina ya iPhone14 za dhahabu na kuwazawadia kikosi cha Timu yake ya Taifa ya Argentina kwa kutwaa Ubingwa wa FIFAWorldCup2022
Inaelezwa kuwa Nyota huyo wa PSG ametumia takriban Tsh. Milioni 409.5 kununua simu hizo, huku 1 ikikadiriwa kugharimu zaidi ya Tsh. Milioni 14
Simu hizo za kipekee kabisa zimeandikwa "Mabingwa wa Kombe la Dunia" upande wa mgongoni. Pia majina na namba za Fulana za wachezaji wa Timu hiyo