Je, una utaratibu wa kupongeza rafiki zako? Messi amewazawadia timu ya Argentina iphone 14 za dhahabu kila mmoja kwa kutwaa World Cup 2022

Je, una utaratibu wa kupongeza rafiki zako? Messi amewazawadia timu ya Argentina iphone 14 za dhahabu kila mmoja kwa kutwaa World Cup 2022

Lady Whistledown

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2021
Posts
1,147
Reaction score
2,008
IMG_3515.jpg



Messi amenunua simu 35 aina ya iPhone14 za dhahabu na kuwazawadia kikosi cha Timu yake ya Taifa ya Argentina kwa kutwaa Ubingwa wa FIFAWorldCup2022

Inaelezwa kuwa Nyota huyo wa PSG ametumia takriban Tsh. Milioni 409.5 kununua simu hizo, huku 1 ikikadiriwa kugharimu zaidi ya Tsh. Milioni 14

Simu hizo za kipekee kabisa zimeandikwa "Mabingwa wa Kombe la Dunia" upande wa mgongoni. Pia majina na namba za Fulana za wachezaji wa Timu hiyo
IMG_3514.jpg
 
Kuna watu watakuja kusema iPhone za kike.

Anyways jamaa kafanya vizuri sana anazidi kuacha alama na kumbukumbu nzuri kwenye maisha ya watu. Binafsi huwa nawapongeza kwa kuwapigia simu na kuwaambia maneno ya kujenga ila nafanya ivyo kama ni mtu wangu wa karibu . Mara kadhaa natoa pesa nayomudu.
Mimi hapa nakazia iphone ni simu za kike, kwani hujawahi kuona magari ya kike yaliyopo TZ, sembuse simu?
 
De paul iphone yake ipo pemben ya ya messi as usual😂
 

6a7ea43828e143cfb919d92ed1289c1f_333971215_205206628846767_675457406189739195_n.jpg
875e7f3047c5409d9f78140b03996b45_334266002_540199231545735_42986949245866694_n.jpg
4f25e737f30040738ffb1e2a75fd08f0_333752102_745314487264547_5044874740598357207_n.jpg
c50d08a18a79498fb611db19065a833b_334252603_216612860923863_5253339776502842650_n.jpg
c98bd26adc0f43fdb5a664644989d529_333654462_151032454133755_6585061029942999013_n.jpg
65acc6153daa4386adeb1502095452b0_334001113_2350415558452839_320781772140950441_n.jpg
 

Attachments

  • 697f8989c3354fa09f40b3bd03a4515c_334079197_1338302980353724_2007523824595005046_n.jpg
    697f8989c3354fa09f40b3bd03a4515c_334079197_1338302980353724_2007523824595005046_n.jpg
    216.5 KB · Views: 6
  • 1276034bfc6544e8bfb2995f2476b5fc_333981386_1131001797567986_5975945675243719766_n.jpg
    1276034bfc6544e8bfb2995f2476b5fc_333981386_1131001797567986_5975945675243719766_n.jpg
    266.2 KB · Views: 7
Simu moja ya Dhahabu kwa milioni 14 tu? Kwamba dhahabu ni overated?
 
angekuwa yule jamaa mpiga danadana kule uarabuni angeenda kufanya interview kuwa kaonewa sana
 
Back
Top Bottom