Never never change your lovers in the middle of the night
Everything may look so different in the early morning light
Give your man another chance.
Ikishindikana ni pm nina qualify hata kipengele kigumu cha sigara mimi sivuti, nashukuru hukukataza mwenye kuvuta bangi.
Madame B na wale wenye sifa ya ziada ya MBA tunaruhusiwa kutuma maombi?
Asante jamani my dear Zion Daughter.
Hv juzi ulifika salama,maana Ruttashobolwa na figganigga walikuwa wanakupigia Misele ya nyuma nyuma.
Mwanangu Zion Daughter hivi na wewe una mpango wa kutoa matangazo?
Wewe tayari umempata. Come ths way tuzungumze kikubwa.
hadi sasa wewe unashikilia nafasi.......wengine hawakidhi mahitaji
Mamndenyi nimempeleka shamba akajifunze adabu....akirudi nitamleta kwako..
Hahahaha.
Sio lazima ku comment kila post..Mchumba unatafuta humu mhmm umechina hasa mwenye umbo la kike huna lolote unazingua watu tu wewe
Kongosho mjukuu mwenzangu,
Babu hajui jamani,na usimwambie.