Je, Unafaa kuwa Mume? Ingia Hapa Kisha Jipimie

Haaaaa! Zile dompo za Mtambuzi hazijakutoka mpaka leo? Shauri yako boss utawakimbiza wote! Nani atataka kuwa mke wa mke? Lol!

Loh!
Govinda Khumar bado iko kichwani.
 
Last edited by a moderator:
Ukishampata huyo mume basi hata ukihitaji kiserengeti boy cha kukuliwaza mie nna vigezo tosha..mia mia Madame B
 
Hapo namba 4 ni chuo gani certificate, diploma, degree ya kwanza, ya pili au ya tatu? Mimi ni umri wa miaka 58 na mapenzi hayana ubaguzi wa rangi,kabila, elimu wala umri. Kwa nini unabagua? Pia ni mke, lakini nina mapenzi mengi naweza kuyagawa kwa watu hata watatu nisipungukiwe chochote. Unaonaje sifa hizi?
 

vipi mambo. mtoto jinsia gani.na wewe umesomea nini.
 

sifa zote ninazo,pitia topic yangu kwenye jukwaa hili,tafuta polisi ben.
 
sasa nana PM RASMI SASA JIANDAENI KUSIKIA NDOA MUDA SI MREFU MAANA NA MIMI NIMECHOSHWA NA UKAPERA
 
Nilivyosoma hii thread nimejiwa na hisia kuwa huyu dada yupo serious. Geuza tangazo la kazi liwe la kutafuta mtu wa kujitolea katika hao watakojitokeza kwajili ya kujitolea mmoja wao utamwajiri. Ulivyotangaza kazi mmoja kwa mmoja sidhani kama itakuwa rahisi kumpata mfanyakazi anayefaa. Unlike kazi nyingine hapa uzoefu wa kazi ni kikwazo kikubwa kabisa. Na kwa wewe jiandae kupokea watu wenye uzoefu kuliko unavyodhani. Kila la kheri. AshaD will give good advise on this
 

Daaah!!!! Madam B!!
kigezo namba moja tayari kimenipeleka ICU muhimbili,,,sijiwezi...disqualified mbaya!!
wanakuja sasa hivi....worry out!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…