Je, unajua kuwa taifa la Israel lingekuwa katika eneo la Afrika Mashariki?

Huna hata swali unalojiuwa hapo unaanza kuleta chuki. Ndio maana mnaambiwaga mnaangamia KWA kukosa maarifa
 
Hapo umeongea point, ila sisi tukisema wale ni wavamizi hawapaswi kwendelea kubaki pale tunaonekana wapumbavu

Wavamizi kivipi wakati ile ni ardhi yao tangu enzi na enzi. Mpalestina alikua amepangishwa kwa muda tu sasa mwenye nyumba amerudi kuchukua chake
 
Israel wa Bwana,ubarikiwe na usishi milele,kila akuchukiae na asipate mafanikio na kila akubarikie mahali penye manono ya nchi itakuwa fungu lake.
 
Dunia nzima inasimama na Wapelestina kupinga dhulma ya hawa fakes jews mimi ni nani nisisimae na palestine.
Dunia nzima?
Naomba nitoe mimi kwenye hesabu zako.
Kumbukumbu zinaonyesha tangu 2008 mpaka sasa ni wapalestina 6000 wamekufa kutokana na machafuko.
Wakati tangu 2008 mpaka sasa wakongo million 5 wamekufa kutokana na machafuko.
MIMI NI NANI WA KUSIMAMA NA WAPALESTINA? HATA KAMA DUNIA IKO UPANDE WAO!
 
Wavamizi kivipi wakati ile ni ardhi yao tangu enzi na enzi. Mpalestina alikua amepangishwa kwa muda tu sasa mwenye nyumba amerudi kuchukua chake
Leta ushahidi wa ardhi yao pale Mashariki ya Kati. Na sio porojo za kwenye bibilia
 
Hilo jambo la Israel kuwa taifa Africa mashariki lisingewezekana, wayahudi wamerudi pale madhariki ya kati kwa unabii kama ilivyotabiliwa kwenye biblia na Koran, na kama ingetokea wakaja Uganda basi ingekuwa neema na ardhi ya Uganda wasiingeimaliza Kwa population Yao ya milioni 7, Uganda ingekuwa developed country in the world.
 
Nenda Paris, German, Uk, USSR, ulaya nzima wamesimama na palestine.
Nenda china, india jordan, misri North Korea, Asia nzima imesisima na palestine.
Njoo Afrika, morocco, egypt, South africa, hata hapa Tanzania wote tunasimama na palestine kupinga uvamizi.
Wewe ni nani Kwani ata usipokuwa upandewa palestine hakuwezi kusababisha wengine tuuache kutetea Ndugu zetu Wapelestina.

Kuhusu kongo na Afrika KWA ujumla matatizo yetu tunajitakia wenyewe hakuna aliyeporwa ardhi na mzungu, na kukaliwa kimabavu, bali ni uchu na ulafi wa madaraka
 
Picha uletewe pia mfalme ama raisi utajiwe. Hivi KWA akili yako unavyoona hayo majengo, airport, madarasa, misikitini, yalijengwa bila kuwepo Kiongozi wa eneo hilo. Changamsha ubongo wako sio kila kitu utafutiwe
Ntajie wafalme wa palestina umeshindwa
Hiyo misikiti walijenga waturuki ambao sio wakazi wa eneo hilo bali walikua wakoloni

Hakuna mfalme wa palestina ndo nikuambie na hakukuwahi nchi inayoitwa palestina bali kulikua na coloby la palestina ambalo lilikua halina mwenyewe
 
Unaleta chuki za kidini bila kujibu maswali Apo juu. Ati atakaibariki israel naya atabarikiwa. Hivi mnaowabariki mnaijuwa historia yao vizuri au umelishwa viaasili vya Dini.

Wayahudi wamekua hapo kabla ya hiyo dini yenu kubuniwa na muarabu, soma historia hata ukiweka mambo ya dini pembeni jielimishe kihistoria, Wayahudi wamekua hapo tangu mababu zako wakiwa maporini kule Congo, sasa umezaliwa juzi unasomeshwa ilmu ya madrassa kuwachukia Wayahudi ambao hata labda haujawahi kukutana na hata mmoja wao maishani mwako.
 
Acha uongo waziri wa mkuu wa uingereza ana-support israeli
 
Nimemuambia antajie marais/wafalme wa palestina waliotawala hilo eneo ameshindwa
 
Israel haiwezi kuwa mahali pengine zaidi ya nchi yao walipo, ni sawasawa na kusema watanzania wahamishiwe Kenya halafu Kenya ibadilike jina kuwa Tanzania, hakunaga kitu kama hicho. Magaidi ya Hamas yalimwaga petroli juu ya moto, acha kuni ziwake.​
 

Ni Urusi na Marekani ndizo zilikuwa za kwanza kuitambua Israel.
 

Wewe unadai Israel ni weusi, ila Kuna shehe mmoja anadai Israel asili ni warusi. Huoni Kama mnajitungia tu.
 
Nawasubiri Kwa hamu wanijibu maswali yangu. Maana washalishwa sumu za kiimani hawajui lolote kuhusu historia ya israel zaidi ya kuleta ushabiki wa kindezi

Wewe mwenyewe shabiki wa imani. Halafu vyote ulivyoandika ni uongo. Labda kidogo Hilo la Uganda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…