Je, unajua kuwa taifa la Israel lingekuwa katika eneo la Afrika Mashariki?

Je, unajua kuwa taifa la Israel lingekuwa katika eneo la Afrika Mashariki?

Musa kazikiwa wapi ?

Mayahudi wa leo hawana undugu wa damu wala wa dini na kina Daudi na Musa. Musa amekufa haukuwepo Uyahudi.

Sasa unaandika ili ujifurahishe au upoteze muda ?

Kingine lengo si kubadilisha lengo ni Historia kudhibitiwa.

Hehehe wewe Mzaramo unabishia undugu baina ya Wayahudi ilhali kwa maisha yako yote hujawahi kumuona hata mmoja kwenye ukata wako hapo Tandale.
 
Hehehe wewe Mzaramo unabishia undugu baina ya Wayahudi ilhali kwa maisha yako yote hujawahi kumuona hata mmoja kwenye ukata wako hapo Tandale.
Jibu swali nililo kuuliza, acha utoto.
 
Jibu swali nililo kuuliza, acha utoto.

Sio lazima ujibiwe utakavyo wewe, jielimishe kushirikisha ubongo na kujiongeza kila unapojibiwa, wewe una ushahidi gani kwamba Wayahudi wa kipindi cha akina Musa hawana undugu na Wayahudi wa leo.
 
Sio lazima ujibiwe utakavyo wewe, jielimishe kushirikisha ubongo na kujiongeza kila unapojibiwa, wewe una ushahidi gani kwamba Wayahudi wa kipindi cha akina Musa hawana undugu na Wayahudi wa leo.
Jibu unavyotaka wewe, maswali niliyo kuuliza ni maraisi sana, sababu nimekuuliza maswali kutokana na ujinga ulio uandika.

Kwanza ili swali lako liwe sahihi unatakiwa uthibitishe ya kuwa kipindi cha Musa Mayahudi walikuwepo. Nyinyi mkiachiwa ndio huwa mnakariri uongo mpaka unakuja kuonekana au kudhaniwa ni ukweli.

Sasa ni jukumu lako wewe uliegemeza madai yako kwa Daudi na Musa uthibitishe unachokisema.

Kingine Uyahudi ni dini, ambao hata wewe unaweza kuwa Myahudi, Sasa onyesha undugu wao uko wapi.
 
Wale waliouawa kule Israel (Watoto, wazee, wanawake n.k) hawakuwa na haki ya kuishi!? Lini umewapigia kelele?
Wanawake ,wazee na watoto wa kipalestina wanaouawa na walowezi wanaopora ardhi kila siku miaka sabini na tano yote hii wao ni nguruwe na hawapaswi kuishi au sio ? Ila hao ngedere wa Kizayuni ndio wanathamani zaidi sio ?
 
Watu wanawachukia wa Israel bila kujali nani alianza kurusha ngumi ili kuanzisha ugomvi, mumchukie na mchochezi Iran ambae kachochea kuni jikoni kakaa pembeni anaangalia zinavyoteketea.
Chuki dhidi ya Israel hazitawakomboa Gaza dhidi ya hasira za Myahudi, badala yake waache kuhubiri chuki na uchochezibdhidi ya Israel.
Sipendi na sivutiwi na sishabikii kinachoendelea hapo Gaza ila naumizwa na wale wote wanaochochea mgogoro huo kwa kuandika chuki zao mitandaoni wakidhani wanaisaidia Gaza kumbe wanaiteketeza.
We mpuuzi una akili kuliko wapalestina wanaopitia hayo madhila kwa miaka zaidi ya sabini sasa si ndio ,watu wanauawa na kuporwa ardhi kila siku na wanaishi kama wakimbizi ndani ya nchi yao halafu wewe Kenge ,unaandika utopolo wako hapa .
Kapimwe akili
 
Umeandika ukiwa umejaa chuki za kidini, na kutukana watu wasio endana na mtizamo wako kuwa ni wapumbuvu huku ukiwaita Waarabu ndugu zenu, sijuhi ni ndugu zenu wewe na nani, maana dhambi ya ubaguzi wa aina yako ndio unaoitafuna Mashariki ya kati. Kwa mitizamo wako huu nani unataka atoe maoni?

Unapokuwa unatetea hoja fulani punguza jazba unaweza ukaeleweka, lakini hivi ulivyowasilisha hoja yako ni watu wa aina yako tu ndiyo wanaweza wakakuelewa

View: https://x.com/mehdirhasan/status/1725330605141807128?s=20

Israel wenyewe sasa na wao
 
Hivyo vitabu kaandika nani!? Yaani uniletee upuuzi alioandika Sheikh Kipozeo eti uuite maarifa!!!??? Unaleta vitabu vyenye mlengo unaoshabikia, ngoja tukuletee vitabu vya mlengo tofauti upate maarifa.
Mpuuzi mmoja usiye na akili ,ungekuwa na akili hata asilimia tano tu ,usingeandika huu useng€ unaoandika hapa
Wewe hiyo Bible na vifungu unavyodhsbikia na kufanya justification ya hiyo occupation unajua ni nani aliyeandika ? Na kwa madhumuni gani ?
Na hao unaowashabikia unauhakika ni wayahudi ?
Idiot
 
Jibu unavyotaka wewe, maswali niliyo kuuliza ni maraisi sana, sababu nimekuuliza maswali kutokana na ujinga ulio uandika.

Kwanza ili swali lako liwe sahihi unatakiwa uthibitishe ya kuwa kipindi cha Musa Mayahudi walikuwepo. Nyinyi mkiachiwa ndio huwa mnakariri uongo mpaka unakuja kuonekana au kudhaniwa ni ukweli.

Sasa ni jukumu lako wewe uliegemeza madai yako kwa Daudi na Musa uthibitishe unachokisema.

Kingine Uyahudi ni dini, ambao hata wewe unaweza kuwa Myahudi, Sasa onyesha undugu wao uko wapi.

Ona unavyojifanya mpumbavu, unataka kulazimisha nikujibu utakavyo kwenye swali lako la kijinga, eti nikupe ushahidi wa undugu baina ya Wayahudi wa kipindi cha Musa na Wayahudi wa leo, hebu soma unachokiuliza mara kumi ujitikise kichwa.
 
Hakuna wayahudi weusi...wayahudi ni watu wenye akili nyingi....sasa kuna weusi wana akili nyingi....
Hizo story za Google ni matango pori...hapo walipo ndio kwao
 
Una akili ndogo sana
Huu mjadala hauwezi kujadiliwa kwa akili ndogo kama zenu hizo ,za kukimbilia kwenye Bible kutafuta justification , Bible haiwezi kuwa ndio justification ya ukoloni wa wazayuni kwenye ardhi ya palestina ,ni ukosefu wa akili timamu .
Duniani hapa kila mtu ana imani yake ,kuna watu hawaamini hata dini yoyote (atheists) na majority ya hao Ashkenazi na cephards ni atheists , hawapo kwenye dini yoyote ,hata huo uyahudi wenyewe hawapo .
Sasa utakuwa ni mtu wa ovyo kuleta justification za genocide na ethnic cleansing ya makaburu wa Kizayuni katika ardhi ya palestina
Bible yenyewe hamuijui kuisoma na kutafsiri kilichoandikwa kwa ufasaha , wengi mmepata mafundisho potofu na ninyi mmeyameza hivyo hivyo na wala hamtafiti vitu wala kusoma
Wewe ndiye mwenye akili ndogo, unajifanya hujui kiini cha mgogoro wa Mashariki ya kati. Huwezi kukwepa ukweli alafu unajifanya unajadili. Kinachogombewa ni ardhi na maeneo ambayo kwao wao wanayaita maeneo takatifu, sasa ukikwepa kuliongelea hili utakuwa unajadili nini? Wewe ndiye mpumbavu Ila ujijuhi.
 
Kama ungekuwa unaijua Bible ungeijua na Quran, vitabu vyote vinathibitisha kuwa Israel inakaa kwenye ardhi ambayo Mwenyezi Mungu aliwapa mababu zao!
Huwezi kuizungumzia Palestina na Israeli nje ya Vitabu hivyo!
 
Picha uletewe pia mfalme ama raisi utajiwe. Hivi KWA akili yako unavyoona hayo majengo, airport, madarasa, misikitini, yalijengwa bila kuwepo Kiongozi wa eneo hilo. Changamsha ubongo wako sio kila kitu utafutiwe

[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
 
Ni nchi gani ya kiafrika ukiacha south afrika wanayoishi wazungu wengi? Kasome vizuri harakati za uzayuni wakati wanaanza kurudi kwenye ardhi yao mashariki ya kati iliyokuwa tayari inakaliwa na waarabu hao wapalestina. Unaandika kwa mhemuko wa dini yako ya kiislam
Kuna video Fulani iliwahi ona kule Twitterx ya mwarabu Fulani wa saudia.

Anasema wapalestina sio WAARABU

Na kwamba eti tayari kula msosi na muisrael kuliko mpalestina.

Jamaa anadai wapalestina ni wavamizo tu wa hio ardhi . Jamaa katoa hadi evidence
Screenshot_20231117-102920.jpg
Screenshot_20231117-102907.jpg
Screenshot_20231117-102932.jpg
Screenshot_20231117-103002.jpg
 
Ona unavyojifanya mpumbavu, unataka kulazimisha nikujibu utakavyo kwenye swali lako la kijinga, eti nikupe ushahidi wa undugu baina ya Wayahudi wa kipindi cha Musa na Wayahudi wa leo, hebu soma unachokiuliza mara kumi ujitikise kichwa.
Nimekwambia jibu unavyotaka wewe, unaendelea kuruka ruka. Swali langu liko wazi sana.

Nilichokiuliza kipo wazi sana, wewe umeandika na kuonyesha Kuna uhusiano kati ya Mayahudi wa Sasa na wa kipindi kile. Au nimesema mimi maneno haya ?

Sasa ndio onyesha ukweli wa unachokiandika.

Unajua mpaka najiuliza kwanini hujibu maswali ninayo kuuliza.
 
Jiulize kwanza kama kuna undugu baina yako na mababu zako, au kama kuna undugu baina ya Wachagga wa enzi za Mangi Meli na wa leo.
 
Wewe ndiye mwenye akili ndogo, unajifanya hujui kiini cha mgogoro wa Mashariki ya kati. Huwezi kukwepa ukweli alafu unajifanya unajadili. Kinachogombewa ni ardhi na maeneo ambayo kwao wao wanayaita maeneo takatifu, sasa ukikwepa kuliongelea hili utakuwa unajadili nini? Wewe ndiye mpumbavu Ila ujijuhi.
MPumbavu sana wewe
 
Back
Top Bottom