MK254
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 32,408
- 50,809
Musa kazikiwa wapi ?
Mayahudi wa leo hawana undugu wa damu wala wa dini na kina Daudi na Musa. Musa amekufa haukuwepo Uyahudi.
Sasa unaandika ili ujifurahishe au upoteze muda ?
Kingine lengo si kubadilisha lengo ni Historia kudhibitiwa.
Hehehe wewe Mzaramo unabishia undugu baina ya Wayahudi ilhali kwa maisha yako yote hujawahi kumuona hata mmoja kwenye ukata wako hapo Tandale.