Je, unajua kuwa wabongo wengi hawasikilizi ili waelewe, bali wanasikiliza ili wajibu?

Je, unajua kuwa wabongo wengi hawasikilizi ili waelewe, bali wanasikiliza ili wajibu?

Mkuu hujui kwamba Jesus ni Mungu kamiri katika Dini zingine anaabudiwa kabisa.
Aabudiwe tu wala hainipunguzii chochote, ila babu mnyenyekevu reaction yake kwa huyo PT hapo mwishoni haina tofauti na yangu.
 
Hii ni kali, bado ninacheka, matokeo ya dharau "unanijua mimi ni nani? Waambie hao nyuki sasa! Utakoma.
 
Trump yupo sahihi mlikuwa mnataka mpewe USAID ili mzotumie hizo hela kuishi kifahari huku lengo alifikiwi .

Watu Kama,trump ni,smart and visionary na,sio arrogant
Sawa ila hilo alimkatazi kua arrogant en selfish
 
Uko Imara sawa ila huoni kwamba trump iko kwenye mfumo ule ule ila ni very arrogant racist en sturbon
Kama trump

Anaiba,hela za umma
Ananunua magoli ya,simba na yanga
Anaiba,kura,
Anaua,wamarekani
N.k

Hapo upo sahihi
 
Unamfahamu vizuri obama na aliyoyafanya kipindi cha uongozi wake?? Kasome na ufanye utafuti alafu uje utuoneshe hiyo "humbleness" yake
Wewe unayeyajua aliyoyafanya ndo unatakiwa uyaanike hapa.
 
Aabudiwe tu wala hainipunguzii chochote, ila babu mnyenyekevu reaction yake kwa huyo PT hapo mwishoni haina tofauti na yangu.
Mkuu usidhihaki Mungu wa watu, yule mzee hakua msomi kama wewe ndo maana almkejeri police
 
Back
Top Bottom