- Thread starter
- #61
Mkuu leta data Zinazo mhusu acha mbwembwe.Asiyejua maana haambiwi,nenda katafute ili wakati mwingine usifanye ulichofanya
Mkuu leta data Zinazo mhusu acha mbwembwe.Asiyejua maana haambiwi,nenda katafute ili wakati mwingine usifanye ulichofanya
Nyie mnaojua maovu yake ndo mnatakiwa mtuambie sisi tusiyoyajua. Kwani kuna ugumu gani?Asiyejua maana haambiwi,nenda katafute ili wakati mwingine usifanye ulichofanya
Upo sahihi hujui/hujaelewaSi umesema
Au mimi ndo sijakielewa vizuri hiki kiingereza.
Sawa, kama unajua alivyovifanya tuambie kama haujui kausha.Upo sahihi hujui/hujaelewa
Btw kumjua na kujua alichokifanya ni vitu viwili tofauti
Yaani ukosefu wa maadili wa mtu flani iwe ni kosa la Chama?Mfumo wa sisiemu ndo umewatengemeza hivyo .
Wazee wa kitu kidogo
Usipanic mkuu, Wewe ndo umeleta mada ya wabongo hawasikilizi ili waelewe...Sawa, kama unajua alivyovifanya tuambie kama haujui kausha.
Mimi sio mleta mada. Mleta mada ni CovaxUsipanic mkuu, Wewe ndo umeleta mada ya wabongo hawasikilizi ili waelewe...
Ghafla ukaleta stori ya Obama kuwa humble hapo hapo unataka uambiwe mabaya aliyoyafanya obama... ?? Sidhani hata kama uliwaza ni nini unahitaji kuwasilisha
Mimi nilitaka tu utueleze juu ya hiki ulichokisema. Tuaminishe ya kuwa Obama hakuwa humble wakati ndo miongoni wa marais wa Marekani kuitembelea Tz.Unamfahamu vizuri obama na aliyoyafanya kipindi cha uongozi wake?? Kasome na ufanye utafuti alafu uje utuoneshe hiyo "humbleness" yake
Lazima kufurahi, kwa sababu aliambiwa na hakusikia!Mkuu usifurahie maumivu ya binaadamu mwenzio hata akiwa adui wake.
SwadaktaChangamoto nyingi za maisha zina sababishwa na tone (namna ya kuongea) Sio maneno tunayosema yenye umuhimu mkubwa, bali ni jinsi tunavyo yasema. Badilisha tu namna unavyosema, utaona mabadiliko katika maisha yako ebu nitowe mfano moja:
Afisa wa jeshi la Polisi alikuwa akizungumza na mkulima mzee mkoa wa Mara akamuambia Nahitaji kukagua shamba lako kwa sababu kuna madai ya mmea wa bangi unaolimwa kinyume cha sheria.
Mkulima akasema, "Sawa kabisa, ila tafadhali usiende kwenye lile shamba kule..." huku akionyesha kwa kidole mahali aliko maanisha.
Polisi akamjia juu kwa sauti ya hasira, "Bwana, nina mamlaka kutoka kwa Serikali!" Kisha akaonyesha kwa kiburi kitambulisho chake. "Unaona hiki Kitambulisho? Hiki kinaniruhusu kwenda popote ninapotaka. Usiniulize maswali wala usitegemee majibu! Je, nimeeleweka? Unanielewa?"
Mkulima mnyenyekevu akatikisa kichwa kwa adabu, akaomba msamaha, kisha akaendelea na kazi zake.
Muda si mrefu, vilisikika vilio vikubwa vya hofu
Mkulima alitazama juu, akamwona afisa wa polisi akikimbia kwa uoga mkubwa, akiwa amezungukwa na jeshi la nyuki pori.
Afisa huyo alikuwa anaonekana kabisa kuwa amepanic. Mkulima akaacha zana zake, akakimbia hadi kwenye uzio, kisha akapiga kelele kwa sauti kubwa sana...
"Acha kukimbia! Waonyeshe Kitambulisho Chako!"
1. Ukosefu wa unyenyekevu huleta fedheha.
2. Kiburi hutangulia anguko.
3. Kua na cheo serikalini halikufanyi kutokua binaadamu tena.
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Mimi sio mleta mada. Mleta mada ni Covax
Mimi nilitaka tu utueleze juu ya hiki ulichokisema. Tuaminishe ya kuwa Obama hakuwa humble wakati ndo miongoni wa marais wa Marekani kuitembelea Tz.
Unasoma kwa kukurupuka mimi nimesema Obama ni miongoni mwao.😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
HAWA HAPA MARAIS WA MAREKANI WALIOITEMBELEA TANZANIA MDOGO WANGU
William J. Clinton 2000
George W. Bush 2008
Barack Obama 2013
wakati ndo miongoni wa marais wa Marekani kuitembelea Tz.
Tuaminishe ya kuwa hakuwa humble. Stop roaming around the Bush.Kuitembelea Tanzania hukufanya kuwa humble?
Kiswahili ni kigumu kwako mdogo wangu.....Tuaminishe ya kuwa Obama hakuwa humble "wakati ndo miongoni wa marais wa Marekani" kuitembelea Tz.
Obama alikukosea nini? Si ulete mabaya yake.Kiswahili ni kigumu kwako mdogo wangu.....
Vipi hao wengine hawakuwa humble? Je walikukosea nini?
Nadhani sio kunikosea bali kuikosea dunia ama sehemu fulani ya duniaObama alikukosea nini? Si ulete mabaya yake.
Ameikoseaje na sehemu ipi ya dunia? Toa maelezo janja.Nadhani sio kunikosea bali kuikosea dunia ama sehemu fulani ya dunia
Hujui?Ameikoseaje na sehemu ipi ya dunia? Toa maelezo janja.