Deinstein 01
JF-Expert Member
- May 12, 2024
- 2,090
- 3,928
Kwani wewe unaijua?Hujui?
Kwani wewe unaijua?Hujui?
Ni usiku hivi sasa sina muda mrefu wa kuendelea kutumia simu ila kajaribu kusoma na kupitia kidogo kuhusiana na MILITARY INTERVASIONS & OBAMANOMICS Kipindi cha utawala wake huenda utapata kitu hapoAmeikoseaje na sehemu ipi ya dunia? Toa maelezo janja.
Thanks to elimu yetu ambayo ipo kufundisha kujaza mitihani na si kuelewa concept za masomo husika. Hizi product ni results ya mfumo wa elimuChangamoto nyingi za maisha zina sababishwa na tone (namna ya kuongea) Sio maneno tunayosema yenye umuhimu mkubwa, bali ni jinsi tunavyo yasema. Badilisha tu namna unavyosema, utaona mabadiliko katika maisha yako ebu nitowe mfano moja:
Afisa wa jeshi la Polisi alikuwa akizungumza na mkulima mzee mkoa wa Mara akamuambia Nahitaji kukagua shamba lako kwa sababu kuna madai ya mmea wa bangi unaolimwa kinyume cha sheria.
Mkulima akasema, "Sawa kabisa, ila tafadhali usiende kwenye lile shamba kule..." huku akionyesha kwa kidole mahali aliko maanisha.
Polisi akamjia juu kwa sauti ya hasira, "Bwana, nina mamlaka kutoka kwa Serikali!" Kisha akaonyesha kwa kiburi kitambulisho chake. "Unaona hiki Kitambulisho? Hiki kinaniruhusu kwenda popote ninapotaka. Usiniulize maswali wala usitegemee majibu! Je, nimeeleweka? Unanielewa?"
Mkulima mnyenyekevu akatikisa kichwa kwa adabu, akaomba msamaha, kisha akaendelea na kazi zake.
Muda si mrefu, vilisikika vilio vikubwa vya hofu
Mkulima alitazama juu, akamwona afisa wa polisi akikimbia kwa uoga mkubwa, akiwa amezungukwa na jeshi la nyuki pori.
Afisa huyo alikuwa anaonekana kabisa kuwa amepanic. Mkulima akaacha zana zake, akakimbia hadi kwenye uzio, kisha akapiga kelele kwa sauti kubwa sana...
"Acha kukimbia! Waonyeshe Kitambulisho Chako!"
1. Ukosefu wa unyenyekevu huleta fedheha.
2. Kiburi hutangulia anguko.
3. Kua na cheo serikalini halikufanyi kutokua binaadamu tena.
Sawa janja usiku mwema.Ni usiku hivi sasa sina muda mrefu wa kuendelea kutumia simu ila kajaribu kusoma na kupitia kidogo kuhusiana na MILITARY INTERVASIONS & OBAMANOMICS Kipindi cha utawala wake huenda utapata kitu hapo
Nimekupa hapo juu kaka🙏🙏Sawa janja usiku mwema.
Siku nyingine mshutumu mtu kwa ushahidi sawa?
2023 tupo pahala watu wanaogelea,wakaja watu na magari wakitoa watu kwenye maji.Kweli mkuu hasa watumisahi wa ummah wenye vyeo vyao.
Inaonekana haya matukio ni mengi, Mara na Mbinga ni wapi na wapi ?Hii story ni ya kweli kabisa, huyo mkulima ni mjomba wangu anaitwa Ananias Kapinga na hilo shamba lipo Mbinga.
Dini gani wanamwabudu Jesus kama Mungu kamili, yaani nyie wazee wa barashia mmekaa kimajungu, fitina, dhihaka cjui kwannMkuu hujui kwamba Jesus ni Mungu kamiri katika Dini zingine anaabudiwa kabisa.
Mkuu mbona umekuja kiugomvi ugomvi, kama wewe Yesu sio Mungu pitazako hamna haja ya kugomba, wengine Yesu ni Mungu na wanamuomba kila haja yao na kumuabudu kabiasa bila kuficha.........Dini gani wanamwabudu Jesus kama Mungu kamili, yaani nyie wazee wa barashia mmekaa kimajungu, fitina, dhihaka cjui kwann
Nyie wajukuu wa mwamedi mnashida sanMkuu mbona umekuja kiugomvi ugomvi, kama wewe Yesu sio Mungu pitazako hamna haja ya kugomba, wengine Yesu ni Mungu na wanamuomba kila haja yao na kumuabudu kabiasa bila kuficha.........
Akili za wabongo nyingi zimejaa chuki stress kukomoa, sio rahisi mbogo ku-appreciate jambo kwa mtu na kumpa hongera wao ni kukosoa kutukana wengi hawana passion nyooni mwao ndo maana unaona kazi kuchekesha ni ngumu hapa mtu kuja kucheka ni kaZi kwasbb nyooo zao zimejaa sumu.Umeiweka kitaalamu sana,hongera.Ata kichwa cha mada kinafikirisha na kuakisi jinsi wengi wetu tulivyo.Ata huku mitandaoni tunaona jinsi watu wanavyokurupuka kucomment kitu ambacho ata ajakielewa au kukitafakari.Nadhani kuna shida kubwa ya tatizo la akili.