Je, unajua kuwa wabongo wengi hawasikilizi ili waelewe, bali wanasikiliza ili wajibu?

Mkuu usifurahie maumivu ya binaadamu mwenzio hata akiwa adui wake.
Ila akiwa adui nitamwonea huruma akiwa anachinjwa labda...sisi binadamu bro acha tu....mtu anakupa maumivu kwa maksudi kabisa akitegemea uje umsamehe kwa neno moja "nisamehe"
Hapana kwa kweli
 
Unampiga Yesu alie sema penda adui wako kuliko unavo jipanda kuna mantiki ndani yake
 
Sijui kwanini binadamu huwa tunawachukulia kawaida watu ambao either ni wa hali ya chini au wana status ndogo.
 
Back
Top Bottom