Je, unajua kuwa wabongo wengi hawasikilizi ili waelewe, bali wanasikiliza ili wajibu?

Sawa, kama unajua alivyovifanya tuambie kama haujui kausha.
Usipanic mkuu, Wewe ndo umeleta mada ya wabongo hawasikilizi ili waelewe...

Ghafla ukaleta stori ya Obama kuwa humble hapo hapo unataka uambiwe mabaya aliyoyafanya obama... ?? Sidhani hata kama uliwaza ni nini unahitaji kuwasilisha
 
Mimi sio mleta mada. Mleta mada ni Covax

Unamfahamu vizuri obama na aliyoyafanya kipindi cha uongozi wake?? Kasome na ufanye utafuti alafu uje utuoneshe hiyo "humbleness" yake
Mimi nilitaka tu utueleze juu ya hiki ulichokisema. Tuaminishe ya kuwa Obama hakuwa humble wakati ndo miongoni wa marais wa Marekani kuitembelea Tz.
 
Mimi sio mleta mada. Mleta mada ni Covax

Mimi nilitaka tu utueleze juu ya hiki ulichokisema. Tuaminishe ya kuwa Obama hakuwa humble wakati ndo miongoni wa marais wa Marekani kuitembelea Tz.
Kuitembelea Tanzania hukufanya kuwa humble?
 
Mimi sio mleta mada. Mleta mada ni Covax

Mimi nilitaka tu utueleze juu ya hiki ulichokisema. Tuaminishe ya kuwa Obama hakuwa humble wakati ndo miongoni wa marais wa Marekani kuitembelea Tz.
Anatafuta jinsi ya kukuepa suali la kutueleza kuhusu Obama amedai anamjua zaidi.
 
Swadakta
 
Mimi sio mleta mada. Mleta mada ni Covax

Mimi nilitaka tu utueleze juu ya hiki ulichokisema. Tuaminishe ya kuwa Obama hakuwa humble wakati ndo miongoni wa marais wa Marekani kuitembelea Tz.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

HAWA HAPA MARAIS WA MAREKANI WALIOITEMBELEA TANZANIA MDOGO WANGU
William J. Clinton 2000
George W. Bush 2008
Barack Obama 2013
 
Unasoma kwa kukurupuka mimi nimesema Obama ni miongoni mwao.
wakati ndo miongoni wa marais wa Marekani kuitembelea Tz.

Soma vizuri kabla ya kureply sawa?
 
Ukishaelewa maana yake si una respond? Au? Lengo la kusikiliza si kuelewa na kuitika? Au? Rubbish
 
Tuaminishe ya kuwa Obama hakuwa humble "wakati ndo miongoni wa marais wa Marekani" kuitembelea Tz.
Kiswahili ni kigumu kwako mdogo wangu.....
Vipi hao wengine hawakuwa humble? Je walikukosea nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…