Je, unajua kuwa wabongo wengi hawasikilizi ili waelewe, bali wanasikiliza ili wajibu?

Ameikoseaje na sehemu ipi ya dunia? Toa maelezo janja.
Ni usiku hivi sasa sina muda mrefu wa kuendelea kutumia simu ila kajaribu kusoma na kupitia kidogo kuhusiana na MILITARY INTERVASIONS & OBAMANOMICS Kipindi cha utawala wake huenda utapata kitu hapo
 
Thanks to elimu yetu ambayo ipo kufundisha kujaza mitihani na si kuelewa concept za masomo husika. Hizi product ni results ya mfumo wa elimu
 
Ni usiku hivi sasa sina muda mrefu wa kuendelea kutumia simu ila kajaribu kusoma na kupitia kidogo kuhusiana na MILITARY INTERVASIONS & OBAMANOMICS Kipindi cha utawala wake huenda utapata kitu hapo
Sawa janja usiku mwema.
Siku nyingine mshutumu mtu kwa ushahidi sawa?
 
Kweli mkuu hasa watumisahi wa ummah wenye vyeo vyao.
2023 tupo pahala watu wanaogelea,wakaja watu na magari wakitoa watu kwenye maji.

Tena kukiwa na Watalii na Jirani zetu Kenya.Sasa watu wakiwa wanaruka ndani ya maji yakamdokea Bwana mmoja(Mkuu wa Wilaya) hakuna aliyekuwa anajua😀😀

Bwana weee kilizuka kamzozo bahati nzuri wengine hatuwajui hawa wazee.

Jamaa:Mkuu hii ni sehemu ya watu kuruka na kuogelea inakuwaje mnakuja na mabunduki😀😀😀

Mkuu:Weka chini huyo😀😀

Babu lile zogo sio poa...
 
Mkuu hujui kwamba Jesus ni Mungu kamiri katika Dini zingine anaabudiwa kabisa.
Dini gani wanamwabudu Jesus kama Mungu kamili, yaani nyie wazee wa barashia mmekaa kimajungu, fitina, dhihaka cjui kwann
 
Dini gani wanamwabudu Jesus kama Mungu kamili, yaani nyie wazee wa barashia mmekaa kimajungu, fitina, dhihaka cjui kwann
Mkuu mbona umekuja kiugomvi ugomvi, kama wewe Yesu sio Mungu pitazako hamna haja ya kugomba, wengine Yesu ni Mungu na wanamuomba kila haja yao na kumuabudu kabiasa bila kuficha.........
 
Mkuu mbona umekuja kiugomvi ugomvi, kama wewe Yesu sio Mungu pitazako hamna haja ya kugomba, wengine Yesu ni Mungu na wanamuomba kila haja yao na kumuabudu kabiasa bila kuficha.........
Nyie wajukuu wa mwamedi mnashida san
 
Umeiweka kitaalamu sana,hongera.Ata kichwa cha mada kinafikirisha na kuakisi jinsi wengi wetu tulivyo.Ata huku mitandaoni tunaona jinsi watu wanavyokurupuka kucomment kitu ambacho ata ajakielewa au kukitafakari.Nadhani kuna shida kubwa ya tatizo la akili.
 
Akili za wabongo nyingi zimejaa chuki stress kukomoa, sio rahisi mbogo ku-appreciate jambo kwa mtu na kumpa hongera wao ni kukosoa kutukana wengi hawana passion nyooni mwao ndo maana unaona kazi kuchekesha ni ngumu hapa mtu kuja kucheka ni kaZi kwasbb nyooo zao zimejaa sumu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…