Je unajua ni kwanini siku ina saa 24?

Je unajua ni kwanini siku ina saa 24?

Kwetu wakristo ukisoma BIBLIA inazitamka siku katika nyakati za asubuhi na jioni kwisha....kwa mfano wakati MUNGU aliposema ikawa asubuhi ikawa jioni siku ya kwanza na kuendelea vivyo hivyo.So kutoka alfajili ya saa12 mpaka jioni ya saa12 ni siku moja.haya masaa I think ni mbwe mbwe za kibinadamu hasa wazungu
 
masaa ni kipimo kilichowekwa ili u-hali uwezekanike yaani makubaliano na mengneyo Kwa mfano njoo saa saba unajua hali ya makutano itawezekana basi hakuna jipya zaidi hata kama mawazo yakija na vipimo vingine vya muda hakuna shida masaa hayana jipya zaidi ya hilo.
 
Kama unajua tafadhali nielimishe, nimeijiwa tu na hili wazo from nowhere nikiwaza ingekuwaje siku ingekuwa na saa 48 kwa mfano; ningeweza kuwa na muda zaidi?

Si nadra siku kuisha ukiwa na viporo vya majukumu...

Anyways back to the topic, ni nani aliamua siku iwe na saa 24 tu?

ulitaka dada zetu waende mwezini kila baada ya muda gani,tarehe za mwezi zilifuata hedhi ya mwanamke ndio maana wakasema wanawake huenda mwezini
 
nani kakwambia siku ina masaa 24? siku inamalizika 12 jioni toka kukucha kwake hayo n mambo ya wazungu na masonic zao sisi tunajua siku yasaa 12 na uwez kunambia mshale ukae kwenye 8 kisha niamin SAA 2 au 20 ndo SAA mbili hizo n iman za kishetani yan naona moja kisha unambie sio moja n 7 aahhh Jamani em tusidanganyane
 
siku ikiwa na masaa 48 au 12 miezi na miaka haiwezi kuchange. siku ni muunganisho wa usiku na mchana hivyo siku ikiwa na saa 48 maana yake nusu saa ya sasa ndiyo ingekuwa saa. na siku ikiwa na saa 12 maana yake masaa mawili ya sasa yangakuwa ni saa moja. speed za saa ndiyo zingebadilika.

Kati ya usiku au mchana, kipi kinaanza?
 
Wamisri badala ya kuhesabu vidole (mtu ana vidole kumi)...wakawa wanahesabu knuckles ukiondoa dole gumba. Ukikunja ngumi kila kidole (ukiacha gumba) kina knuckles 3...kwa mikono yote miwili unapata knuckles 24. Kwa kutumia njia hii wamisri wakapanga saa yao kwa masaa 12 ya day na masaa 12 usiku jumla ni masaa 24. Sijui kwa nini hawakutaka kuhesabu vidole vyote kumi yaani kuwe na masaa 20...na sijui kwa nini waliondoa knuckles ya vidole gumba.
 
Kwa kifupi wamisri waliipenda namba 12 kuliko 10 kwa kuwa inagawanyika mara nyingi kuliko 10...ndio maana hata kwa mwaka kuna miezi 12.
 
Masaa katika siku yanategemea sayari husika inatumia mda gan kulizunguka jua,. Kwa upande wa earth planet inatumia 24hrs .
Ndo maana kuna masaa 24

labda niongezee swali... kwanini iwe masaa 24? kwanini waliamua kuwa ni masaa ishirini na nne? walizingatia nini katika maamuzi hayo? mfano ingekuwa saa moja ni sawa na masaa mawili yaani sawa na dakika mia moja ishirini halafu siku moja ni sawa na masaa kumi na mbili, kingeharibika nini?
 
Mkuu angalia post #50
 
Kama unajua tafadhali nielimishe, nimeijiwa tu na hili wazo from nowhere nikiwaza ingekuwaje siku ingekuwa na saa 48 kwa mfano; ningeweza kuwa na muda zaidi?

Si nadra siku kuisha ukiwa na viporo vya majukumu...

Anyways back to the topic, ni nani aliamua siku iwe na saa 24 tu?

Labda uneuliza wakati/muda (time) ni nini? Mimi ninavyoelewa ni kwamba dunia huchukua approx. saa 24 kujizungusha katika muhimili wake na hii ndio inazaa usiku na mchana na kufanya kuwa siku moja. Mzunguko 1 = siku 1 = saa 24. Na kila saa moja dunia hutembea kwa nyuzi 15.

Sasa labda swali, je, nani aligundua muda?
 
acha ukali wewe bibi, hata simba mla watu akitekenywa huachia dume limzame sembuse wewe trash ya lumumba?
kayaman twende naye mdogomdogo tu mbona mweupe tu huyu? Ukali ni dalili ya kutojiamini na kujihami
 
Last edited by a moderator:
acha ukali wewe bibi, hata simba mla watu akitekenywa huachia dume limzame sembuse wewe trash ya lumumba?

Wewe mchagga hebu kaa kimya, mlivyokuwa nyinyi malaya mnafikiri na wenzenu wote washa washa?

Yesu hajakosea alipowaita mbwa na nguruwe.

Peleka upuuzi wako kwa nguruwe wenzako.
 
Back
Top Bottom