Waolewaji wapo, ila ni wachache sana katika wengi, lakini ukisema hawapo kabisa utakuwa unakosea.Kimsingi Mwenyewe kuna bint namwamini sana na Naeza oa hata sahii, She is Perfect. Ila in General Hakuna waolewaji saivi siwez tumia Mwanamke mmoja kuwasafisha wote.
Ujue ndoa ni Kubahatishana tu hakuna Formula ya kupata Mke mwema, kwanini tucheze patapotea. Wewe kwakua umebahatisha usijione Mjanja na usituhakikishie bahati wote.Na wewe kwanini usitafute mwanamke ambaye ataendana na principles zako za kimaisha. Mwenye tatizo ni wewe unayeoa sio anayetaka kuolewa.
Sasa katika hao waolewaji wachache inabidi wanaume wachache pia ndio waoe, Wengine tusubir folen au unataka wengine tudondokee pua?Waolewaji wapo, ila ni wachache sana katika wengi, lakini ukisema hawapo kabisa utakuwa unakosea.
Ni utoto tu na kufuata mikumbo ya kundi rika.tufanyeje kuepuka hilo??
Je ni nini chanzo cha kampeni ya KATAA NDOA
Kabisa! Kabisa! Mungu anabadilisha watuTamaa zako zitakua juu yake, Sasa ukionyeshwa ambae huna hisia nae mtaishije?
Hivi unaeza muomba Mungu amfanye mtu uliemchagua awe Mke Mwema?
Huwezi kupata akili Kama hujaoa ,,kila penye mafanikio ya mwanaume mmoja ujue nyuma yake Kuna mwanamke smart ....Wee Akili na Ndoa How how!?
Sure, Kuoa dunia ya leo ni sawa na kutoa sadaka ya kuteketeza. Yaani imepoteza thaman japo lengo lake lilikua jema sana.Ni utoto tu na kufuata mikumbo ya kundi rika.
For you...perhaps.No ni independent thinker
Hapa nimekupata Vizuri na nimependa hoja zako ni laini kama nila ya Yesu.Kabisa! Kabisa! Mungu anabadilisha watu
Tena Mungu anasema atakupa sawasawa na haja ya moyo wako, so unaweza kuspecify hata umbo, rangi, kimo n.k na Mungu akakupa wa namna hiyo
Kinachozuia watu kupata watu sahihi ni ile Mtu anamwomba Mungu ampe Mke/ Mume sahihi wakati njia zake mwenyewe sio sahihi.
ili kuzuia huo utoto kifanyike kipi?Ni utoto tu na kufuata mikumbo ya kundi rika.
Weee! Ko wewe au Mkeo au Memeo ni matajir?Huwezi kupata akili Kama hujaoa ,,kila penye mafanikio ya mwanaume mmoja ujue nyuma yake Kuna mwanamke smart ....
OA KIJANA
Unawambiaje Vijana Waoe mke kama wako au Waoe tu?Nimeoa na ninaifurahia ndoa yangu.
Kwa mke wangu, mimi nimepata mke namshukuru Mungu,sijui huko mbeleni.Unawambiaje Vijana Waoe mke kama wako au Waoe tu?
Shida ni kwamba yupo mmoja tu na binadam hatufanani kama MaharageKwa mke wangu, mimi nimepata mke namshukuru Mungu,sijui huko mbeleni.
Nawashauri vijana waoe kama wangu, bila kusita, niko proud na huyu mtoto wa mama mkwe.
🤣🤣🤣🤭Umeolewa asubuhi Leo hahahaha
Urafiki wa mashaka! HahahahahNaona mmewamua kuweka tofauti zenu pembeni...🤣🤣🤣