Je, unakubali ndoa au unakataa?

Je ni MSHANA JR au ROBERT HERIEL?

  • Total voters
    136
KUBALI NDOA
...ndo mpango mzima.

Wengi wanaopinga ndoa ni vitoto, havijui dunia inavyoenda. Vinadhani vitakuwa vijana milele.

Pale umri utakaposonga halafu huna familia, mke wala mtoto, afya inaanza kutetereka kwa sababu ya uzee, na huna hata mtu wa kutuma kitu dukani, ndo utajua hujui na itakuwa too late!
 
Mtu anayekataa ndoa ni mwanadamu dhaifu...

Ndoa ni moja ya mambo ambayo mtu dhaifu hawezi kukubali iwe sehemu ya maisha yake...

Kama tu ilivyo kwa mtu anayekataa Elimu, Mafanikio, Jinsia sahihi n.k...
 
Namkubali sana MSHANA lakini kwa hili hapana.

2
 
Wale wote wanao support mambo ya ALPHABET I.E LQGBT lazima watasema Kataa ndoa.
 
Mtu anayekataa ndoa ni mwanadamu dhaifu...

Ndoa ni moja ya mambo ambayo mtu dhaifu hawezi kukubali iwe sehemu ya maisha yake...

Kama tu ilivyo kwa mtu anayekataa Elimu, Mafanikio, Jinsia sahihi n.k...
Mm nadhani wengi ndio dhaifu wanaoogopa kukaa peke yao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…